MSAADA: NO AUDIO DEVICE INSTALLED.

Itoye

JF-Expert Member
Sep 29, 2017
531
1,024
Wakuu salaam.

Hivi karibuni computer yangu ilipelekwa kwa fundi kwa tatizo la "Entering power save mode", fundi akabadili RAM.

Sasa baada ya kurudi imeanza tatizo jingine la kutotoa sauti na ujumbe inaoonyesha ni huu "No audio device installed".

Naomba kufahamu hili tatizo nalitatuaje?

Natanguliza shukrani kwa mawazo na ushauri wenu.
IMG_20181012_142759.jpeg
IMG_20181012_142639.jpeg
 
Kwanza fundi wako mwizi ram na hilo tatizo aliendani kabisa , angalia drivers za audio.
 
Wakuu salaam.

Hivi karibuni computer yangu ilipelekwa kwa fundi kwa tatizo la "Entering power save mode", fundi akabadili RAM.

Sasa baada ya kurudi imeanza tatizo jingine la kutotoa sauti na ujumbe inaoonyesha ni huu "No audio device installed".

Naomba kufahamu hili tatizo nalitatuaje?

Natanguliza shukrani kwa mawazo na ushauri wenu.
View attachment 895676View attachment 895677
Boss fanya hivi tumia driverpack solution au driver booster kuscan missing driver, halafu utainstall utazoona unazihitaji including audio driver
 
Kwanza hakikusha pc yako ipo connected na internet
Download slim drive hapa SlimDrivers 2.3.1.0
Install
Kisha utaifungua na kuscan pc yako na utaweza kuona driver zote zilizo miss na utazi istall
NB: Software hii inafanya kazi online na ni free
 
Ingia kwenye web ya sofnic.com download realtek for audio...kisha install
 
Tatizo dogo kachukua mpaka ram, jamaa kapgwa
Mara ya kwanza ukiwasha ilikuwa inadisplay hii message "Entering power save mode" inaishia hapo, sasa kwa hili tatizo ndio infact akatoa ram moja iliyokuwa na size ya 500mb akaweka nyingine ya 1gb, hilo tatizo likaisha. Sasa day 1 baada ya kuichukua ndio nikaona hili tatizo la sauti.
 
Boss fanya hivi tumia driverpack solution au driver booster kuscan missing driver, halafu utainstall utazoona unazihitaji including audio driver
Asante Mkuu, kwa ushauri huu nitaufanyia kazi.
 
Kwanza hakikusha pc yako ipo connected na internet
Download slim drive hapa SlimDrivers 2.3.1.0
Install
Kisha utaifungua na kuscan pc yako na utaweza kuona driver zote zilizo miss na utazi istall
NB: Software hii inafanya kazi online na ni free
Asante sana kaka kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi.
 
Kwanza hakikusha pc yako ipo connected na internet
Download slim drive hapa SlimDrivers 2.3.1.0
Install
Kisha utaifungua na kuscan pc yako na utaweza kuona driver zote zilizo miss na utazi istall
NB: Software hii inafanya kazi online na ni free
Mkuu, nimefanya kama ulivyoshauri hii software imefanikiwa kudownload drivers kadhaa lakini driver ya audio haikuwepo.
Je! Kuna namna nyingine au kuna tatizo kubwa zaidi?

Thanks in advance.
 
Una tumia kifaa gani computer au computer mpakato?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom