Msaada: Njia ya kuondoa ndevu kwa mwanamke

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
7,325
9,186
Nisaidieni kupata njia ya kuondoa ndevu kwa mwanamke maana zimekuwa zikiota nakata ila zinarudi mara mbili zaidi ya awali.

Mwanzo vilikuwa 2 nikavikata vikaja kama vi5 ni virefuu sasa naogopa kuvikata nataka nikipata dawa au njia ya kuviondoa basi visirudi tena.

Kama ni dawa / mafuta yasiwe na kemikali yenye kuchubua ngozi /cream/. maqna nilishauriwa na mtu hayo mafuta matokeo yake nikaishia kucream kidevu na tiba nisipate.

Asanteni.
 
Sizan kama kuna tiba ya kuondoa hzo ndevu. Coz inabid ujue nn kinasababisha uwe na ndevu ndipo unaweza kuondoa na ishu kubwa hapo n kua na ongezeko kubwa la hormone ya kiume ambalo linaweza sababishwa na sababu za kimazingira(lishe) au za vinasaba!
 
ssababu za kimaxingira?
naomba elimu mkuu

ni mazingira gani huchangia kuwa na ndevu?
Sizan kama kuna tiba ya kuondoa hzo ndevu. Coz inabid ujue nn kinasababisha uwe na ndevu ndipo unaweza kuondoa na ishu kubwa hapo n kua na ongezeko kubwa la hormone ya kiume ambalo linaweza sababishwa na sababu za kimazingira(lishe) au za vinasaba!
 
Ulipata sawa
Ulipata dawa mdada
 
Nauliza tu swali; Hivi ni kweli mdada mwenye ndevu huwa na kifuani zimejaa?? Huyo mdhungu nimemuogopa. Sithubutu kuvuta ndani Dah! Wapo wanaume mashujaa wengine kina sisi magoigoi tu. Dah! Huyo sivuti ndani ng'o
 
Uli
pata dawa best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…