Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,325
- 9,184
Nisaidieni kupata njia ya kuondoa ndevu kwa mwanamke maana zimekuwa zikiota nakata ila zinarudi mara mbili zaidi ya awali.
Mwanzo vilikuwa 2 nikavikata vikaja kama vi5 ni virefuu sasa naogopa kuvikata nataka nikipata dawa au njia ya kuviondoa basi visirudi tena.
Kama ni dawa / mafuta yasiwe na kemikali yenye kuchubua ngozi /cream/. maqna nilishauriwa na mtu hayo mafuta matokeo yake nikaishia kucream kidevu na tiba nisipate.
Asanteni.