Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,433
- 11,746
Mimi nipo 63kg napambana nifike 55-57 kg hapo nikifika ndipo nitaanza ku maintain .
Inahitaji kujikana mwenyewe bila kusukumwa.
Hapa Nina miezi takribani 4 sijala ugali hata tonge moja na nilikuwa naupenda sana tena sana !
Kitu kinaitwa kitafunio cha chai nilishaachaga, mara moja moja huwa nakunywa kikombe cha maziwa pamoja na eggs white parts au mboga za majani hasa matembele.
Mara nyingi siko hizi kwenye mlo wangu huwa ni mboga tu kwa maana ya samaki/ nyama/mboga za majani (mchunga/ tembele/mchicha
Sent using Jamii Forums mobile app