Mimi kwenye statement yangu sipati code yenye namba nne(4digits) kama wanayodai Pay Pal ili niweze kuconfirmbcard yangu..statement huwa natumiwa kwa email..sasa je nikienda bank ntapata hizo 4 digits sababu zoezi hilo limenichukua muda mwingi sanaa mpaka nimekata tamaa. Kama kuna yoyote mwenye msaada please. Natumia mastercard ya CRDB