Msaada: Nitamjuaje mpenzi wangu ameanza kunisaliti?

Msaada: Nitamjuaje mpenzi wangu ameanza kunisaliti?

rom's

Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
12
Reaction score
3
20170709_072930.png
 
Ngoja akianza utajua tu ......maana utaanza kwa kukonda kwa kasi
 
utaanza kuandika nyuzi huku jf kuomba ushauri na kuuliza maswali hiyo ndo dalili ya mwanzo kabisa
 
Sali kwanza, sio vizur kuchat ukiwa kanisan
 
Badala ya kupanga njia za kuboresha mahusiano yenu, wewe umekazana mitandaoni kumtafutia sababu ya kumuacha,
Endelea utapata unachotaka
 
Akianza ma style ya kufa mtu kwenye tendo bas tena
 
Subr tu bdo hajakusalit
Akianza utaona tu
Matendo yakiongea
 
Mambo yako hayamfurahishi tena...
Kila mara ni kuzodoana na kusemana...
Hajali kuhusu chochote utakachofanya...
Atakutafutia visasi na kisirani...



Cc: mahondaw
 
kama ni Mkeo ukichelewa kurudi utaskia..ushaenda kwa haoMahawara zako..

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app

 
Kama ni watu mliozoeana, ghafla utaanza kuvikosa vitu ambavyo ulikuwa unavipata awali

spend less, save more
 
Why don't we take time to enjoy what we have, while it lasts??

Achana na hayo mawazo potofu. Furahia mahusiano yako. Tafuta njia za kuzidi kuwa karibu na mpenzi wako na kuonyesha mapenzi kwake.
 
Back
Top Bottom