KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
mkuu big up. sisi wengne bado tunapambna na kuajiriwa kwanz.
nikirudi kwenye topic;
upo wapi kwanza?
mm nakusauri jarib kufuga kuku wa mayai au wa kienyeji (nyama) au bata mkuu. najua mtaji wako unaweza fanya hivi:
1.kuku wa kuanzia 15-20 (approx.tsh180,000). hapa itabid ununue kuku wadogo wadogo ili kukwepa bei kubwa, na n vizur ukiwakuz mwenyewe. had watakap anza toa mayai.
2.ujenzi wa banda la kufugia (approx 30,000)
3.vyakula vya kuanzia na dawa kwa kipind hizo kuku hazijaanza ingiza pesa, tuseme kwa miezi 2 (approx 50,000).
had hapounakua umetumia kama 260,000 hivi out of laki 5. ukiona maendeleo yanaenda fresh, unaongeza idadi ya kuku, chakula na ukubwa wa banda. pesa kidg inabaki kwaajili ya backup.
hizo bei ni.makadilio. zinaweza badilika kutokana na mahala ulipo.
ushaur wangu ndio huo mkuu.
Ok!
Naomba utushirikishe iyo project ya kwanza iliyo kufikisha hapo.
Na hizo risk unazo ogopa,labda tuta kushauri jinsi gan upambane nazo.
mkuu big up. sisi wengne bado tunapambna na kuajiriwa kwanz.
nikirudi kwenye topic;
upo wapi kwanza?
mm nakusauri jarib kufuga kuku wa mayai au wa kienyeji (nyama) au bata mkuu. najua mtaji wako unaweza fanya hivi:
1.kuku wa kuanzia 15-20 (approx.tsh180,000). hapa itabid ununue kuku wadogo wadogo ili kukwepa bei kubwa, na n vizur ukiwakuz mwenyewe. had watakap anza toa mayai.
2.ujenzi wa banda la kufugia (approx 30,000)
3.vyakula vya kuanzia na dawa kwa kipind hizo kuku hazijaanza ingiza pesa, tuseme kwa miezi 2 (approx 50,000).
had hapounakua umetumia kama 260,000 hivi out of laki 5. ukiona maendeleo yanaenda fresh, unaongeza idadi ya kuku, chakula na ukubwa wa banda. pesa kidg inabaki kwaajili ya backup.
hizo bei ni.makadilio. zinaweza badilika kutokana na mahala ulipo.
ushaur wangu ndio huo mkuu.
Ebo,ushauri mzuri jamaa hajarudi kuendeleza brainstorm
Njoo huku ela bwetere MegaStoon.Com - Work Online And Get Incomes Up To 1500$ weekly