PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Habari wataalamu wa I.T?
Naomba kujuzwa jinsi ya kuunda location yako iwe inaonekana kwenye google map, mfano wa picha hapa chini.
Ni hayo tu, nina kajiofisi nataka kawe kanaonekana kama hawa jamaa. Asanteni.