Msaada: Nipo Vikindu/Mbagala naomba kuelekezwa daladala zinazoelekea Mikocheni 'B'

Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
581
757
Ndugu zangu, samahanini,

Ninaishi Vikindu karibu na Mbagala, naomba kujua nikitokea huku, napaswa nipande daladala zipi ili nifike Mikocheni B kwa Mh. Gertrude Rwakatare, maarufu kama Mlima wa moto?

Asanteni
 
Tumia google maps mkuu. Hii dunia sio ya kuuliza uluza utapotea kusikojulikana.
Hujui sehemu nyamaza, wanaojua ndo wanatoa durection, we unahic cjui kitu kinaitwa Google maps.
Jiheshimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom