Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,113
- 12,137
Habari Wakuu?
Mimi ni mgeni wa jiji hili la Dar es salama Natokea Mbekenyera -Lindi, Naombeni maelekezo ya kufika Mikocheni B nikitokea Mbagala rangi tatu.
........Natakiwa nipande gari za wapi na nishuke kituo gani ili niweze kufika kanisa la Mlima wa Moto.
Asanteni.