Msaada, nipo tayari kufa kwa penzi la bar maid

Msaada, nipo tayari kufa kwa penzi la bar maid

Kumbe mtu mwenyewe ni mlevi. Mambo ya ulevi peleka kaunta huko
 
Nakushaur kama una ndevu nyoa zote, kama una degree au masters choma vyetu ubaki na cha O level tu utapata post mpya ya A level, ukitoka nyumbani usisahau kumuaga mama yako kwani usipofanya hivyo utagombezwa sawa dogo!?
 
Sa msaada wa nini wakati ushasema uko tayari, barmed c kazi tu bro
 
Nakushaur kama una ndevu nyoa zote, kama una degree au masters choma vyetu ubaki na cha O level tu utapata post mpya ya A level, ukitoka nyumbani usisahau kumuaga mama yako kwani usipofanya hivyo utagombezwa sawa dogo!?

huu ndo ushauri unaomfaa.
 
Miaka 34 unakaa nyumbani?????? Na maamuz ya kukutaka kuhama nyumbani na kupanga ni huyo mtoto wa miaka 18???? Utakuwa na matatizo wewe
 
Kwa huo umri Wako na jinsi unavyoendeaha maisha yako nina hakika huyo bar maid atakufaa sana.Uko sahihi kabisa kutaka kuwa tayari kujiua kwa ajili yake.
 
Mbona huyo binti ni sawa mtoto wako wa kumzaa haf jitu kubwa ka hiv na midevu yako uko wazazi? aibu kubwaaa
 
Heading uneandika msaada, mbn kune maelezo sijaona sehemu unataka msaada..

Nina hakika 98% umeandika hii thread ukiwa 'vyombo'..
 
Hii ni moja wapo ya sababu kwa nini nachukia ccm kuliko kifo na kama sikosei wewe ni ccm kwasababu nimefanya uchunguzi ya vijana wa ccm waimba 'hapa kazi tu' wengi wanaishi kwa wazazi wao na wengi wako 30 hawajui bei ya chumvi na hawana kazi. Nina ushaidi wa kijana kama wewe anaishi kwa mama yake ana 30 ukikutana nae njiani lazima uanze kuwaza kadi za mwaliko wa harusi. Sasa kama wewe nani alikuroga? At 34 unaishi kwa wazazi? Nyokolost
 
Naona wakati unaandika hii post ulikuta home wamekumalizia chakula
 
Kufa unamaanisha ile kufa kabisaaa au mbwembwe tu?
 
ujachangia hata viungo...mama vipi pilau ukilipa

ona aibu kwanza miaka 34 unakaa chumba kimoja na wadogo zako shenzy taip
 
ngoja magufuli aje kufanya ziara ya kustukiza nyumbani kwenu
 
Aisee suala la kukaa kwenu hilo ni maamuzi binafsi, ila. Ila penzi la wiki mbili kuzaa ndoa tena maamuzi unafanya ukiwa umeshapata kileo is too dangerous. Tena binti wa bar anayetongozwa na kila mteja tena huyo umri wake hajakomaa kiakili.
 
Nakushaur kama una ndevu nyoa zote, kama una degree au masters choma vyetu ubaki na cha O level tu utapata post mpya ya A level, ukitoka nyumbani usisahau kumuaga mama yako kwani usipofanya hivyo utagombezwa sawa dogo!?

This is a Joke now..hahaaa.
 
Back
Top Bottom