Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,081
Hata mimi post ninazotuma zinaandika time tofauti na time halisi ya wakati wa ku post msg!!
chagua lowassa mda utakaa poa
Chagua mabadiliko mambo yatakaa sawa
Huna cha kuchangia piga kimya kuliko kutema Pumba zisizokuwa na maana!!
Wakuu hili jambo limekuwa linanishangaza sana,muda ninaopost humu unakuwa sio sahihi na ule unaonekana ktk vifaa vingine vinavyoonyesha muda. Hii imekuwa inanipa taabu sana mpaka kuhisi pengine jamii forum sio ya tanzania nini. mfano sasa ni 7:52 lakin sio muda wa hii post naouona hapa jf.