vfsuccessfully
Senior Member
- Jul 16, 2017
- 180
- 64
Mimi Sina uzoefu lakini nilitegemea sehemu ya kwanza ungepaswa kwenda Ni kwenye ubalozi
Pole, nadhani huyo balozi anatakiwa afutwe kazi. Wanapaswa kukusaidia maana hapo ndiyo Tanzania ndani ya SA. Nakushauri rudi ubalozini omba kuonana na balozi akusaidieHabari Zenu Wana JF
Mimi niko SA kwa sasa ila nilipata matatizo ya kifedha kwa Visa ikawa imekwisha muda wake sasa ninahuitaji wa visa nilikwenda Home affairs ya hapa SA ili niwaelezee kuwa niliibiwa pesa ndo maana nikashindwa ku update Visa wamenitolea nje kama mnavyo jua SA kuna Vibaka wengi nilikabwa nanikashindwa kwenda ku report kwa sababu waliniambia usipoteze muda kwenda kufungua case kuna matukio mengi yana fanyika na askari hawa fatirii ikiwemo watu kuu wawa kwa likanivunja moyo kwenda polisi sasa visa niliyoingilia hii inchi imekwisha muda wake toka july kwa hiyi na shindwa kuomba work visa kwa hiyo nipo kwenye hali mbaya sielewi nifanyaje na kuludi nyumbani siwezi maana niko illegal kwa naomba mwenye uzoefu na maswala ya nje anishauri.Asanteni
Pole Sana Mkuu lakini Kama una Imani tatizo lako lingeweza kutatuliwa na ubalozi Ni vema ungejitoa uende maana tatizo lako Ni kubwa.kwani nauli ndo huna kabisa?Ubalozi opo mbali sana na nilipo nipo Capetown ubalozi upo pretoria
Ubalozi opo mbali sana na nilipo nipo Capetown ubalozi upo pretoria
Kweli uko nje ya 'inchi' hii..
ubalozi wa TZ huko SA wanakutambua.?
eeehh upo kwa ajili ya RAIA wa bongo wanaoishi kihalali bila janja janjaKwani wana wasaidia wanaowatambua tu?
Duh! Toka July mkuu!!?
Nnavyojua uki over stay angalau siku kadhaa unaweza kwenda home affair ukalipa fine kama R 1,000 hivi kwa mwezi......but kama imeshapita miezi zaidi ya 3...! Sina idea......
Ila subiri watakuja hapa wazoefu kukusaidia, coz mpaka leo kuna Watanzania kibao wanaishi Kaburu bila Passport na maisha yanaenda!
eeehh upo kwa ajili ya RAIA wa bongo wanaoishi kihalali bila janja janja