Msaada: Nini password ya hapa?

Msaada: Nini password ya hapa?

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
314
Reaction score
151
Kama kuna mtu ameomba kazi ya ukarani wa sensa, hapa kwenye password naandika nini?

Screenshot_20220506-183252.jpg
 
Hakuna sehemu yoyote ambayo unahitajika kuweka password,
Labda Kuna sehemu umeenda sipo
 
Hakuna sehemu yoyote ambayo unahitajika kuweka password,
Labda Kuna sehemu umeenda sipo
Nilifika hatua ya mwisho kabisa,na fomu Na.1 ikaja na picha yangu ila nikasahau kui download.Narudi vipi kwenye hatua ile ya kupakua fomu?
 
Nilifika hatua ya mwisho kabisa,na fomu Na.1 ikaja na picha yangu ila nikasahau kui download.Narudi vipi kwenye hatua ile ya kupakua fomu?
Nenda kwenye email Yako ambayo umejisajili watakuwa wamekutumia password
 
Nilifika hatua ya mwisho kabisa,na fomu Na.1 ikaja na picha yangu ila nikasahau kui download.Narudi vipi kwenye hatua ile ya kupakua fomu?
Jitahidi kutokuwa na haraka, soma kila ujumbe unaokujia kabla ya kufunga window tab.
 
Hapo weka namba ya simu ,uliyoiandika wakati wa kujaza maombi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom