sio ni wewe ndo ulisemwa 😂😂 btw ngoja waje watalaamu na mimi nijue kina kaziNilikuwa kwenye moja ya mabasi ya Abood, mtu mmoja akabonyeza hiyo button kwenye picha, dereva wa bus akachukua kipaza sauti akamsema vibaya sana na kumtaka aache ujinga, wajuzi wa mambo hiyo button ina kazi gani? Na kama ina hatari kwanini madereva hawatoi angalizo kwa abiria kabla ya safari?
View attachment 2186500
Acheni shobo na mabasi ya kichina ungepanda tata or kidinilo ayo maneno mabovu ungeyapatia wapiNilikuwa kwenye moja ya mabasi ya Abood, mtu mmoja akabonyeza hiyo button kwenye picha, dereva wa bus akachukua kipaza sauti akamsema vibaya sana na kumtaka aache ujinga, wajuzi wa mambo hiyo button ina kazi gani? Na kama ina hatari kwanini madereva hawatoi angalizo kwa abiria kabla ya safari?
View attachment 2186500
Inahusu kamera za usalama (CCTV) ndani ya basi, sasa huyo huko darini alikuwa anatafuta nini? Au alitaka akiibe akaweke kwenye bodaboda yake?Nilikuwa kwenye moja ya mabasi ya Abood, mtu mmoja akabonyeza hiyo button kwenye picha, dereva wa bus akachukua kipaza sauti akamsema vibaya sana na kumtaka aache ujinga, wajuzi wa mambo hiyo button ina kazi gani? Na kama ina hatari kwanini madereva hawatoi angalizo kwa abiria kabla ya safari?
View attachment 2186500
Ndio majini ya utajiri yapo humo...so muliyaamsha hapo lazima mgombezwe kama watoto wadogo.
🙏Itakuwa ni button ya kuomba kusimamisha gari unapofika kwenye kituo. Yaani ukibonyeza hapo ina dereva kule kuna aidha taa au mlio anausikia unaomjulisha kuwa kuna mtu anaomba kushuka....
Sasa mtu akibonyeza mara nyingi mfululizo it means anazingua...
Nahisi yule abiria alijua matumizi yake na alikuwa na nia njema, kilicho nishtua ni kauli ya dereva dhidi ya abiria, haikuwa ya kiistaarabuNyie mnasema kila neno ila dereva anawaoneni majuha kauchuna, mimi sitapanda basi hilo kwa sababu moja kubwa, vibonyezo vyote vilivyowekwa upande wa abiria ni kwa matumizi ya abiria, alitakiwa amsikilize abiria na kama amekosea amfahamishe abonyeze kitufe kipi.
Ilipaswa wawafahamishe wateja in advance badala kuwadhalilisha vileItakuwa ni button ya kuomba kusimamisha gari unapofika kwenye kituo. Yaani ukibonyeza hapo ina dereva kule kuna aidha taa au mlio anausikia unaomjulisha kuwa kuna mtu anaomba kushuka....
Sasa mtu akibonyeza mara nyingi mfululizo it means anazingua...
Mabasi ya Kidinilo nayo ya kichina labda lile moja lenye sauti kama magari ya propela ndio ni scania pekeeAcheni shobo na mabasi ya kichina ungepanda tata or kidinilo ayo maneno mabovu ungeyapatia wapi
Nahisi abiria alijua anachokifanya ila kuna sababu imefichika why dereva amjibu kwa kumdhalilisha ati aache ujingaItakuwa ni button ya kuomba kusimamisha gari unapofika kwenye kituo. Yaani ukibonyeza hapo ina dereva kule kuna aidha taa au mlio anausikia unaomjulisha kuwa kuna mtu anaomba kushuka....
Sasa mtu akibonyeza mara nyingi mfululizo it means anazingua...