Msaada: Nini Maana ya Cookies?

LOL .. laugh out loud..

ATM..at the moment..

FYI ..for your information

Idk ..I don't know..

Maneno yako mengi mno na yanaibuka mengine daily
Aaah apo umeniongezea kitu maana hz lugha za watu nazo noma kuna mnaija mmoja nachart nae anapenda kutumia short short kama hv bas napata nae tabu hajui tu
 
Nashkuru ndugu, ila nina kaswali kdg. vp wale wanaohack account za watu je na wao wanatumia cookies?
 
Nashkuru ndugu, ila nina kaswali kdg. vp wale wanaohack account za watu je na wao wanatumia cookies?
iyo unayoita hacking, mara nyingi hua ni 'phishing page attack'
mtu anatengeneza page simple na domain inayofanana na jamiiforum.com, mathalan anaiita jamiiforrums.com

anakutumia link, ukiingiza details zako anazinasa, cookie wala haihusiki
 
pia cookies inamsaidia mliki wa website kujua ni watu wa ngap wametembelea page yake or website yake
 
iyo unayoita hacking, mara nyingi hua ni 'phishing page attack'
mtu anatengeneza page simple na domain inayofanana na jamiiforum.com, mathalan anaiita jamiiforrums.com

anakutumia link, ukiingiza details zako anazinasa, cookie wala haihusiki
iyo unayoita hacking, mara nyingi hua ni 'phishing page attack'
mtu anatengeneza page simple na domain inayofanana na jamiiforum.com, mathalan anaiita jamiiforrums.com

anakutumia link, ukiingiza details zako anazinasa, cookie wala haihusiki
Duh kumbe mambo ndivyo yalivyo. nimeelewa now, thanks all!
 
At least umeushawishi ubongo wangu mgumu kukuelewa
 
Unafaa kuwa mwalimu wa wanafunzi vichwa ngumu kama mimi
 
Cookies ni sawa na caches?
cookie imeelezewa juu hapo

cookie na cache zote ni storage za browser

cache inahifadhi 'static contents' za website unapoload iyo web kwa mara ya kwanza

mfano wa static contents za JF ni hiyo logo kuu hapo, izo rangi rangi za blue , zile logo 6 kule chini, na maandishi ambayo hayabadiliki mfano 'Contact Us, Forum Rules', nk

so unapoload kwa mara ya kwanza, static contents inahifadhiwa kwenye 'browser cache'

ukiload same web page kwa mara ya pili, loading speed utaona imekua faster kwa kua, static contents zinazomwa kutoka kwenye cache ya browser moja kwa moja , sio kwenye server tena

uki clear cache ( hapa unafuta zile contents) uka load page, loading speed inakua slow
 
Ni ujinga wako.
 
Maana nyingine za cookie
-chakula
-ile ya katikati kwa jinsia ya ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…