Msaada: Ninawezaje kutatua tatizo la TV licence

Real Patriotist

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
284
687
Habari wakuu!

Naomba mwenye uelewa na hili anijuze. Ninatumia smart tv kwa muda sasa. Zamani wakati naichukua kutoka dukani nilikuwa na uwezo wa kuaccess apps zake kama vile youtube, netflix etc lakini baadaye sana zikawa zinagoma kufunguka na nikawa naambiwa "your tv is not licenced". Hiki ni nini na ninawezaje kussolve hili tatizo?

Asante
 
Hapana ina Appstore
Hizo ni Android za magumashi mkuu pengine google anazipiga pin.

Unaweza kusideload apps? Mfano uingie kwenye browser kisha search netflix. Apk download halafu u install manually?

Alternative weka kwenye flash apk kisha ujaribu kuweka?
 
Ok wacha nijaribu nitaleta mrejesho mkuu, asante kwa msaada wako.
 
Back
Top Bottom