Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,998
Wakuu pole na shughuli,
Nasumbuliwa sana na nta kwenye sikio, nta ujirundika ndani na sikio huanza kuniuma.
Nilikuwa naenda Kairuki hospital nasafishwa nakuwa vizuri tu.
Sasa hivi nipo Arusha sijui ni hospitali gani nitapata huduma ya kusafisha sikio, na gharama zake ni zipi maana bima yangu imeisha muda sasa.
Msaada tafadhali!
Sent using Jamii Forums mobile app