Msaada tatizo la printer

Msaada tatizo la printer

fdizzle

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,902
Reaction score
2,405
Naomba msaada kuhusu tatizo la printer ni aina ya hp deskjet.
Tatizo nikijaza wino Ile taa nyekundu ya kuonesha wino umeisha inawaka na nikiprint inatoa copy lakini ni iliyofifia na wakati mwingine ina madoa madoa meusi.
Naomba kujuzwa tatizo ni nini na natatua vipi
 
hizo printer majanga tu..tafuta printer nzur ila sio deskjet
 
Back
Top Bottom