π²π²Thubutuuu .. Wewe unaonekana fisi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa chai sana huyu .. Kwanza madomo zege wengi huwa hawajijui mpaka waambiwe kuwa wao ni madomo zege
Cause wanachokifanya huwa wanaamini kuwa kipo sahihi hata kama wanakosea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama ushairi kitu gani mbele ya kazi iliyonakshiwa kwa ustadi na muumba[emoji28]
Ushairi unatamba huku tu ila huko mitaani hawajui kama mi hata ni mshairi!.. wanaona ni jamaa fulani tu ambae kwenye msafara wa mamba na kenge tumo..[emoji28]
Dah! Mkuu unanikandia utafikiri nilishaga zurumu fedha yako πJamaa chai sana huyu .. Kwanza madomo zege wengi huwa hawajijui mpaka waambiwe kuwa wao ni madomo zege
Cause wanachokifanya huwa wanaamini kuwa kipo sahihi hata kama wanakosea
He he! Mkuu mwanamke ni kiumbe Cha kubembelezwa unaweza katwa maini kwa majibu ya hovyo usipokuwa makini.. hapo anaweza kukujibu "KWAHIYO"π
Toka lini wachambaji wakawa walimu..?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfundisheni mwenzenu basi
Kuna wengine maneno huwa mengi nyuma ya keyboard tu. Ukiwaface yote yanayeyuka.Mbona unaonekana una maneno mengi?
Unashindwa nini kuyatumia kwa huyo mwanamke?
Nitajaribu huto tu maneno lkn lazima niende na backup!ACHA uoga! We mwanaume KUREMBA REMBA kunakupoteza mwisho inakuwa mchezo wa paka na panya.
Hahaa kwamba Mimi ni-mchambajiToka lini wachambaji wakawa walimu..?
Watu wa namna hii wapo na nishawazoea.. swala la ufundishaji sio kwa huyu labda uchambaji maana ndicho nachokiona kwake..[emoji23]
Nitajaribu huto tu maneno lkn lazima niende na backup!
Ntakuwa na kibarua akizingua nakichomoa naanza kumsomea..π
Maana nikisema niyakariri maneno nitajikuta nachanganya mafile naanza kumhutubia hotuba za rais wetu..π
Sasa nawewe unakuaje na Domo zito?Toka lini wachambaji wakawa walimu..?
Watu wa namna hii wapo na nishawazoea.. swala la ufundishaji sio kwa huyu labda uchambaji maana ndicho nachokiona kwake..[emoji23]
Wacha wee[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]ACHA uoga! We mwanaume KUREMBA REMBA kunakupoteza mwisho inakuwa mchezo wa paka na panya.
Ha ha mkuu huwezi amini ni moja tu nayo sikutumia maneno bali nguvu..πHahaa kwamba Mimi ni-mchambaji
No wonder kwa nini huyo manzi ana kutoa kamasi ... Licha ya list ndefu ya papuchi ulizowahi kuzitafuna
Uko mbali atume muamala Tigo pesa 50elf,alaf amwambie samahan dada nimekosea kutuma imekuja kwako,lkn usijal unaweza kutumia kununua vochaMwandikie barua.. Kwenye bahasha, fungasha na elf 50!
Wacha wee[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Fanya uwe mtungaji wa mashairi tu.Na hayo ndo maajabu ya Mungu ktk uumbaji wake..![emoji23]
Kumbe wewe mtaalam eeh[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakati mwingi hili zoezi huwa ni rahisi mno kuliko unavyotegemea.