KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,765
- 86,446
Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu
Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana..
Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake!
Nateseka juu yake,kula nakula lakini sishibi kwa sababu yake! Hata kunywa maji nakunywa lakini kiu hakiishi juu yake!.
Nikimsogelea maneno yananikimbia nabaki najiuma uma na kujikuna tu!.. na vile kabarikiwa tabasam ndo kabisa nikiliona mpaka mapigo yangu ya moyo yanachachamaa! Ni kama vile yananihukumu yananiambia "Leo Sasa!"
Msaada ndugu zanguni nifanyaje huu udomo zege niushinde?