ikombepeter
New Member
- Oct 25, 2015
- 2
- 0
Wataalamu mi nasumbuliwa na kuota visundo nini sababu na nifanyeje kuvizuia?
Kuota visundo? Unamaanisha ndoto za visundo?wataalamu mi nasumbuliwa na kuota visundo nini sababu na nifanyeje kuvizuia?
USIKATE MKUU TAFUTA DAWA HII KATIKA MADUKA YA DAWA -WARTS REMOVING SOLVENT au WARTS DESOLVENT PAINTKuna vinyama flani vinaota sehemu yeyote ya mwili tiba yake uwe unavikata tu