Msaada: Nina tatizo la allergies ya material ya mavazi

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Habari wanajanvi,

Nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mwili kila nikivaa viatu vya raba pia nguo zozote zisizokuwa za cotton.

Nasikia maumivu makali, napata ganzi mwili mzima. Ila nikivaa cotton na viatu tofauti na raba sipatwi na hiyo hali na ikiwepo ni kwa uchache sana.

Naomba msaada kama jinsi ya kutibu hii hali.

Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hizo zenye kukupatia shida vaa zinazopaswq japo cotton og.ni gharama kiasi ila ni nguo original inadumu sana
Pia boxer usisahau kuvaa nazo original cotton
Ya bei nafuu pisi 3 nanunua elfu 21

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom