Msaada Nina tatizo kwenye simu yangu.

Petro Oswald

JF-Expert Member
Aug 17, 2015
2,372
1,841
Ni hivi, natumia simu aina ya Samsung J1 ace ambayo nilipewa na mtu tu, ila katika historia ya hii simu iliwahi kuangushwa jambo ambalo limefanya mpaka leo simu inafanya self commands, inajitouch yenyewe, niliiipeleka duka la Samsung wakaipiga software ambapo tatizo limepungua lakini halijaisha kwani nikiiweka charge ikikaa kama nusu saa nikiitoa na kuitumia inafanya self command tena.

Sasa ningependa wazoefu wanijuze huenda tatizo hapa litakua ni nini hardware au software na kama ni hardware ni ipi na software ni ipi??



Asante.
 
Back
Top Bottom