Msaada; Nina siku5 sijatumiwa conrtol number naUDOM

sepema

JF-Expert Member
Jun 13, 2019
591
1,000
Wakuu salaam.
Nimeomba kujiunga na chuo kikuu Dodoma. Tangu tarehe29 hadi leo sijatumiwa cotrol number ili niendelee na mchakato. Nimepiga namba zao ila bado sijapata msaada.
Kwa mweny uwezo anisaidie tafadhali.
 
Jitahidi ufike apo chuoni utawala husika ufatilie kuna mambo yanahitaji follow up ya karibu.. ndio hali halisi ya vyuo vyetu vya serikali
 
Relax mkuu hiyo ni shida ya kimtandao tu utatumiwa hiyo control namba.
 
Back
Top Bottom