jay_samuel_dunstan
Member
- Aug 6, 2014
- 39
- 3
firmware unazo chukua security patch zitakuwa za zamani jalibu kutafuta firmware ya mwaka 2018 inayo endana na terehee na mweziWadau tafadhali ninahitaji msaada simu yangu imeganda hapo then nimejaribu sana kudownload firmware zake nyingi Kwenye site ya samsung ila bado sijapata ambayo inaingiliana na hii, namba msaada nifanyaje ili niweze fahamu juwa file sahii la hilii sumu ili niweze download.......?View attachment 789018
Vipi kuhusu Baseband maana siijui or na download yoyote?firmware unazo chukua security patch zitakuwa za zamani jalibu kutafuta firmware ya mwaka 2018 inayo endana na terehee na mwezi
Umejuaje kama hiyo ni G920F?Wadau tafadhali ninahitaji msaada simu yangu imeganda hapo then nimejaribu sana kudownload firmware zake nyingi Kwenye site ya samsung ila bado sijapata ambayo inaingiliana na hii, namba msaada nifanyaje ili niweze fahamu juwa file sahii la hilii sumu ili niweze download.......?View attachment 789018
Nikiingia kwenye download mode cha kwanza kuniletea ni model number ambayo ni SM G920F, mstari unaofwata inaandika samsung offically and rom ipo customizeUmejuaje kama hiyo ni G920F?
Fanya hivi...ingia download mode kisha angalia model inayotokea ndio correct model ya sim yako...unatakiwa ku download sasa firmware yenye same model no kama inavyoonekana kweny download mode
Nikiingia kwenye download mode cha kwanza kuniletea ni model number ambayo ni SM G920F, mstari unaofwata inaandika samsung offically and system status ni costume
Mkuu, zama pm kuna ujumbe nimekutumia.Sasa ukiflash unapata error gan?
Mkuu ungepost picha kabisa tuone logsNatumia Odin 3, kila nikijaribu ku flash inaenda then inaniandikia Failed