Msaada: Nina samsung galaxy s6 SM-G920F imestuck

Aug 6, 2014
39
3
Wadau tafadhali,

Ninahitaji msaada simu yangu imeganda hapo then nimejaribu sana kudownload firmware zake nyingi kwenye site ya samsung ila bado sijapata ambayo inaingiliana na hii.

Naomba msaada nifanyeje ili niweze jua file sahihi la hii simu ili niweze download?

1527575559499.jpg
 
Wadau tafadhali ninahitaji msaada simu yangu imeganda hapo then nimejaribu sana kudownload firmware zake nyingi Kwenye site ya samsung ila bado sijapata ambayo inaingiliana na hii, namba msaada nifanyaje ili niweze fahamu juwa file sahii la hilii sumu ili niweze download.......?View attachment 789018
firmware unazo chukua security patch zitakuwa za zamani jalibu kutafuta firmware ya mwaka 2018 inayo endana na terehee na mwezi
 
Wadau tafadhali ninahitaji msaada simu yangu imeganda hapo then nimejaribu sana kudownload firmware zake nyingi Kwenye site ya samsung ila bado sijapata ambayo inaingiliana na hii, namba msaada nifanyaje ili niweze fahamu juwa file sahii la hilii sumu ili niweze download.......?View attachment 789018
Umejuaje kama hiyo ni G920F?

Fanya hivi...ingia download mode kisha angalia model inayotokea ndio correct model ya sim yako...unatakiwa ku download sasa firmware yenye same model no kama inavyoonekana kweny download mode
 
Nikiingia kwenye download mode cha kwanza kuniletea ni model number ambayo ni SM G920F, mstari unaofwata inaandika samsung offically and rom ipo customize
 
Ww tumia smart switch pc uchomeke simu yajo make sure usb driver iko installed .
 
Back
Top Bottom