Msaada: Nina kwikwi kwa wiki mbili sasa, naomba kufahamu dawa yake

Nenda hospitali, ziko dawa za kutuliza hiyo hali, lakini kuwa makini kuna mambo ya kishirikina huwa yanahusishwa na mtu kupata kwikwi za aina hiyo, kwahiyo ni vizuri ukamshirikisha Mungu kwa maombi ili usije kupata madhara zaidi.....
 
Pia usitumie vitu kama Pilipili,Tangawizi na vitu vya ina hiyo,huwa vinasababisha hiyo hali kwa watu wengine...
 
Nenda hospitali, ziko dawa za kutuliza hiyo hali, lakini kuwa makini kuna mambo ya kishirikina huwa yanahusishwa na mtu kupata kwikwi za aina hiyo, kwahiyo ni vizuri ukamshirikisha Mungu kwa maombi ili usije kupata madhara zaidi.....
Wewe ni muuaji kabisa. Unaleta mambo kufirika kwenye Hali halisi. Badilika
 
Nenda hospitali, ziko dawa za kutuliza hiyo hali, lakini kuwa makini kuna mambo ya kishirikina huwa yanahusishwa na mtu kupata kwikwi za aina hiyo, kwahiyo ni vizuri ukamshirikisha Mungu kwa maombi ili usije kupata madhara zaidi.....
Kuna watu kadhaa wamenieleza hilo, nimeanza maombi ndg yangu
 
Dah!!
Nilimshuhudia rafiki yangu akipata kwikwi siku 3 mfululizo.

Alijaribu kila aina ya maelekezo kama, Kubana pumzi kwa muda then unaachia, ama kuvuta pumzi ndani then unazuia, kunywa maji mengi, kumweleza jambo ambalo litamshtua hasa (Uongo flani) n.k

But haikusaidia, siku nimeenda kumuona nikamuonea huruma, yeye akawa anasema hari yake inasababishwa na mambo ya Ushirikina, nikamwambia pale pale tunaenda Hospital, nikambeba mpaka Hospital, Doctor akaeleza kitaalam Kwikwi inavyosababishwa, akasema kwa lugha rahisi ni pale iliyopo ndani na ile iliyopo nje zinaposhindwa kupishana (Kitendo cha kupumua)

So Kwikwi inatokea pale Hewa ya ndani inataka kutoka nje, na pale pale hewa ya nje inataka kuingia ndani, akasema kitendo cha kunywa maji mengi, kuvuta pumzi, kumshtua mtu n.k vyote vinaweza kusaidia ile hari ya Upumuaji kurudi kawaida, kama Kwikwi ni ya kawaida, akasema pia zipo Dawa, akamchoma Sindano akampa na Vidonge flani akameza, baada ya dakika 5 pale pale tukiwa Hospital Kwikwi ikakata!

Karudi nyumbani mzima, ila kesho yake pia alivyoamka tu Kwikwi ikaanza, cha ajabu Kwikwi ilikata kila akilala na kuanza kila akiamka, akichoma Sindano na Vidonge Kwikwi inaacha kwa siku hiyo, next day inaanza tena!

Baadaye akasafiri bila kuaga mtu, hata mm hakuniaga, akanipigia simu baada ya siku 3 kuwa yupo kwa Mganga na kutaka nisimwambie mtu!

Karudi baada ya week 2 akiwa mzima, na story mingi kadri ya Imani yake kwenye Ushirikina!

(Binafsi natambua Ushirikina upo ila siamini kwenye Ushirikina zaidi ya maombi).

Ushauri wangu kwako kutokana na kuwa Shuhuda, ikifika siku 3 hiyo hari bado ipo, kwanza nenda Hospital huku ukifanya maombi wewe mwenyewe. (Inategemea na imani yako).
 
Full compact.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom