Msaada: Nina kibamia, nifanyaje?

Msaada: Nina kibamia, nifanyaje?

trouble maker

Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
62
Reaction score
58
Jamani mimi ni kijana wa miaka 20 na sijawahi jihusisha na mahusiano kutoka na na kuwa na uume mdo nikiogopa kuaibika kwa yeyote.

Mwenye kuijua dawa ya kuepukana na tatizo ili nahitaji msaada jamani.
 
Kila biashara ina Soko lake., kuna wengine hawaridhiki hadi wapate Muhogo kama kifungua Kinywa, huku wengine Mchana bila Bamia Siku haijapita!
 
Kuna theory moja ya Darwin kama sikosei hebu kaipitie kwanza biology form3 labda itakusaidia.
 
Usimtafute mwanamke mwenye makalio makubwa, mnene au mwenye mapaja manene. Utashindwa hata kuingiza. Tafuta wembamba sana kibamia kinapenya kunako vizuri tu.
 
dah,dogo hujiamini tu...kwani hicho kimboo chako unahisi ni kibamia wakati kikiwa kimesimama au kimelala? kikisimama kinaweza fika nusu ya peni kam jibu ndio,basi sio mbaya kitakusaidia...kuna jamaa kashauri uwe unatafuta wakondefu,wenye neema za allah endelea kula kwa macho tu maana huko unaweza kulia na kutamani kujiua kbs.kwa hicho kidude chako.

NB:Hizi mada zishaletwa sana humu,sasa hivi zishakuwa kero tena..mtafanya ata sie wenye mbo.o za kawaida tuanze kujiona vibamia sasa...mtatuharibu kisaikolojia...tafuta hizo nyuzi ukajisomee.
 
Kwani umeambiwa kuna mashindano...? Kamaa nacho dogo
 
jamani mi nikijana wa miaka 20 na sijawahi jiusisha na mahusiano kutoka na nakuwa na uume mdo nikiogopa kuaibika kwa yeyote mwenye kuijua dawa ya kuepukana na tatizo ili nahitaji msaada jamani
Jitahidi Sana Ukikaribishwa Chumbani Uwe Unaishia Sebuleni itakupa Nguvu
 
Back
Top Bottom