Msaada: Nina hofu ya kuoza mguu wangu

Msaada: Nina hofu ya kuoza mguu wangu

fatherhood

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2021
Posts
538
Reaction score
562
Habari JF Dr.

Mnamo tarehe 11 mwezi wa kumi mwaka huu nilipata ajari nilipata fracture kwenye mfupa mkubwa wa mguu.

Sasa nilipelekwa hospital nikaweka Antenna nilikaa nayo kama miezi miwili hivi kasoro.

Jumamosi iliyopita nilienda hospital nikafanikiwa kutolewa Antenna baada ya hapo wakaniweka P.O.P (Plaster of Paris ).

Sasa hofu yangu kubwa kuwa baada ya kutoa Antenna kulikuwa na vidonda, pale pale wakaniweka P.O.P, je hali hii haiwezi kupelekea kuoza kwa mguu kwa sababu ya vidonda vya Antenna?
 
Toa hela kwa madokta na nurses wakuhudumie vizuri wakati fulani kama huna jamaa hapo hospitali wanafanya makusudi iwe complicated wakupige pesa, hawana huruma hao. We toa pesa utahudumiwa vizuri na utapona haraka.

Eneo gani la mguu lina fracture, pajani au chini ya goti?
 
Usipokuwa makini wata kukata mguu. Wapuuzi hao madaktari
 
Pole Sana Kwa Ajali

Mungu Akufanyiwe Upone Haraka

P.O.P Nadhani Wataalam Waliona Ipo Sawa
 
Duh! Utapona nakuombea kheri!
 
Toa hela kwa madokta na nurses wakuhudumie vizuri wakati fulani kama huna jamaa hapo hospitali wanafanya makusudi iwe complicated wakupige pesa, hawana huruma hao. We toa pesa utahudumiwa vizuri na utapona haraka.
Eneo gani la mguu lina fracture, pajani au chini ya goti?
Huu ndio ushauri wa ukweli kabisa.
 
Back
Top Bottom