Msaada: Nina aibu kupita kiasi, nifanyeje kuondokana na hali hii?

Short story huenda ikawa na msaada:
Mimi pia nilikuwa muhanga wa hicho kitu........ Malezi nilopewa nyumbani yalichangia pakubwa kuwa hvyo, maisha yangu yote ya ukuaji nilikuwa mtu wa kukaa sana ndani Sina marafiki, mkimya kupitiliza, aibu nyingi Sana N.k

Baada ya kufaulu vzr O-level, nikapangiwa shule ya advance amby n day na ilikuwa changanyikeni.... Hapo ndipo character ilibadirika moja kwa moja!!!

Kwanza nilichojifunza,,, marafiki utakaochagua kuwa nao kweny maisha baada ya muda lazima utaendana nao zaidi ya 40%
Hii ilinitokea baada ya kufika shuleni nikapata rafiki mmoja aliyekuwa na masihara mengi sana, muongeaji kupitiliza..... (Yule jamaa alinibadirisha tabia mpk leo)

Kuna huu usemi wa dawa ya moto ni moto ( n formula nzuri sana ya kukabiliana na tatzo lako), nikimaanisha dawa ya aibu ni aibu kubwa.
Twende pamoja🤝
Shule nilosoma ndani ya week moja darasa zima walifaham kuwa mm ninaaibu kupitiliza.... Basi walianza kunitania sana na hyo ndo ikawa tiba kwangu!!!
Walinigeuza mdoli wao hasa watoto wa kike (bro mwezi na nusu ulikuwa mwng Sana nishakuwa jangili utadhan nimezaliwa Tandale kwa tumbo)

KUONGEZEA: Kuna muda nilianza kuuza nguo mnadani tena sehemu ambayo nnafahamika ....... Hii pia ilimaliza aibu yote ilokuw imesalia maana ilikuwa ikifika jioni tunaanza kupiga debe la ... Oya oyah oyaaaah tajiri kalewa bei buku buku, mjamzito anapata bure😂😂😂😂🤣🤣

Kama unaweza jaribu hii mbinu..... Fanya shughul ambayo jamii inaidharau, mfano kuchoma mahindi, kuokota makopo😂😂 (ila hapa skushaur Sana japo hii ndo baba lao), kutembeza nguo, au kuwa hata machinga sehemu yenye watoto wazuri halafu uwe unavaa kama umetoka migodi ya geita.... halafu ukitaka matokeo ya haraka fanya sehemu ambayo watu wanakuheshimu!!!!
Ukiweza kuvumilia fedheha mwezi mmoja, aibu lazima iondoke.🚶🚶

Dawa ya aibu n aibu bwana!!!!
 
Simple technique.
Kama unatumia usafiri wa uma, kila ukikaa na mwanamke ongea nae hadi upate namba ya simu.
Sio lazma umtafute, ukishuka futa namba songa mbele.
Kuna msela wangu alikua na aibu balaa akwa anasononeka wengine tunapoopoa watoto yeye kazubaa.
Nkamwqmbia aanze hyo kitu, aisee alikua anakusabya kwa kila mwanamke, mmama, wasichana, walemavu n.k
Sasa hv yuko fiti na mabebez anao hadi mashangazi. Haoni aibu tena, anafanya hadi presentation za kampuni.

Kama ukishindwa, then imagine everybody is naked while you talk to them.
Na hapo ikigoma, kaoge maji ya mchele kwenye nJia panda kuondoa gundu
 
Nifanyeje ili niweze kuondoa aibu?
..psychologist nae nikaanza kumuonea aibu nishamtema.
Kuna jambo hamjafunguka vizuri..
Mnaona aibu juu ya nini hasa? Aibu kwa mademu au kwa kila mtu? Au aibu ya kutongoza?

Au mnachanganya ukimya na aibu?
Maana kuna watu kwa asili ni wakimya tu, hawawezi kuongea ongea
 
Tulia dogo mm ni mbabe mwenye aibu
😂 pole mkuu
Mimi ukiniona kama ni mpole na mwenye aibu ila chokoza nyuki ule asali.

Ukinichangamkia nakuchangamkia haswa and vice versa is true. Jichanganye na wadau kwenye banda umiza, vijiweni n.k itakusaidia sana vinginevyo kila litakaloongelewa utashindwa kuchangia na utaishia kujichekesha tu uongo na ukweli na kuitikia.
 
Simple technique.
Kama unatumia usafiri wa uma, kila ukikaa na mwanamke ongea nae hadi upate namba ya simu.
Sio lazma umtafute, ukishuka futa namba songa mbele.
Kuna msela wangu alikua na aibu balaa akwa anasononeka wengine tunapoopoa watoto yeye kazubaa.
Nkamwqmbia aanze hyo kitu, aisee alikua anakusabya kwa kila mwanamke, mmama, wasichana, walemavu n.k
Sasa hv yuko fiti na mabebez anao hadi mashangazi. Haoni aibu tena, anafanya hadi presentation za kampuni.

Kama ukishindwa, then imagine everybody is naked while you talk to them.
Na hapo ikigoma, kaoge maji ya mchele kwenye nJia panda kuondoa gundu
Mwanangu hii mbinu kabambe nitaitumia kila mtu nitakua namuomba namba afu nafuta. Sema bahati mbaya situmii usafiri wa uma☹️
 
Anza kununua mayala wakufunze mapenzi na maneno machafu wakati unapyesa, aibu itakuisha. Practices makes perfect
Brother usiongelee kuhusu kununua malaya huyu ndio bingwa na mwamba wa hayo madude.

Kuna siku alikutana na malaya mkali Tanzania nzima no 1 like her
 
Bange simshauri ila ajitahidi kukaza huwa kunaporomosha zigo la aibu na aache nyeto kama mdau alivyoshauri. Ukiwa mpole sana kuna namna hata pisi zinakuona kipengele ona hii. Huyu ni dear classmate 😅
View attachment 2935366
😁😁😁Sema chaliangu we nae wale wale we na mtoa mada tofauti ni mlipokulia na uwezo wa kujua una aibu au hauna
 
Pole sana.
Wakati nasoma soma nilikua Representative na mwenzangu wa kike. Kwenye vikao tulikua tunalipwa 5K lakini hadi natoka kwenye uongozi sikuwahi kuhudhuria hata kikao kimoja huyu dada ndo ilibidi awe ananiwakilisha.

But the worst ni kwamba nashindwa kudai watu madeni. Kuna watu kibao nawadai hela ila sijui nawaanzaje kuwadai daaaah. Yaani nabaki nasononeka rohoni. Naokopa ninao wadai badala wao ndo waniogope
Acha aibu za kidemu, anza kwenda vijiwe vya kahawa, mipira bar ujichanganye na wanaume wenzako, harafu inaonekana hujalelewa na baba Yako
 
Mimi ni mpole, mkimya ila aibu sina najiamini mbele za watu napeta fresh tu.

Kuna watu nikiongeaga wanashangaa iv nawewe ni muongeaji kumbe!
Mi kama hatujuani bas utaniona jogoo wa shamba😁 siwezi jenga urafiki na mtu ambae simjui labda patokee cha kutufanya tuwe hvo....ila kama tunajuana aiseee npo komfotabo kinoma na tutaongea
 
Pole sana.
Wakati nasoma soma nilikua Representative na mwenzangu wa kike. Kwenye vikao tulikua tunalipwa 5K lakini hadi natoka kwenye uongozi sikuwahi kuhudhuria hata kikao kimoja huyu dada ndo ilibidi awe ananiwakilisha.

But the worst ni kwamba nashindwa kudai watu madeni. Kuna watu kibao nawadai hela ila sijui nawaanzaje kuwadai daaaah. Yaani nabaki nasononeka rohoni. Naokopa ninao wadai badala wao ndo waniogope
Hyo ni psychological issue mkuu.
 
Back
Top Bottom