Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

Njoo inbox nikupe ushauri
 
Nyie mnaobeza waganga na kutukuza wachungaji mnamaanisha nini?
- Nguvu za Uganga zinazidiana, kumtibu mtu inabidi Mganga awe na Nguvu zaidi ya Spirit zinamtesa Mgonjwa.

- Source ya Spirit zinamtesa Mgonjwa, na Source ya Spirit ambazo Mganga anatumia kutaka kumtibu Mgonjwa, ni Source moja.

- Waganga wakati mwingineonekana huwa wanapewa Rushwa na Wachawi ili Wasiwatibie Wagonjwa, pale Mchawi kwenye Rada zake anapoona Mtu wake kaenda kwa Mganga flani, na Nguvu ya yule Mganga ikawa kubwa kwake, Wachawi huenda kwa Mganga ku offer Rushwa.

- Kuna Waganga wa kawaida, kuna Waganga ambao ni Wachawi, japo kila Mganga lazima ajue kuloga.
 
Jamaa yangu aliombewa akapona
 
Hakuna shida mpya duniani kujiua ni upumbavu na kiwango Cha juu sana Cha ubinafsi ukijiua umewatendea ukatili sana wanao
 
Pana vitu ukisetiwa maombi yanadunda
 
Sisi wakatoliki tunafahamu kuhusu demonic oppression, demonic obsession, demonic infestation, demonic possession. Tunaamini kuwa the demonic wanaweza affect maisha yako, kama unahisi kuna vitu sio natural, nenda St Joseph kuna Mapadri exorcist waeleze kuhusu shida zako waone wanafanyaje. Au nenda pale Edward michaud hospital pembeni ya kwa kakobe, padri Rimisho anafanya sana deliverance na healing ministry. Sikushauri uende kwenye tiba za kienyeji, huko ndio unazidi kuwapa nguvu.
 
" Ψ§Ω„Ω„Ω‡ Ψ£ΩŽΩƒΩ’Ψ¨ΩŽΨ±Ω Ω…Ω† كلِّ شيؑ"
 
Pole mkuu fanya uwezalo hakikisha mwamposa hakutapeli maana umeshaingia kwenye 18 zake
 
Inategemea na imani yako unataka msaada wa kiroho upande upi.
Wacheki watu wenye macho ya kiroho watakusaidia kujua ndani kuna shida Gani.
Wachek mitume na manabii au mchek Dr Riziki Mkali Malela yupo kunduchi akuscan atachek kama ni shida ya kiroho au ni ishu zingine.
Dunia ina mengi na elimu mbalimbali.
 
Biashara ni fursa iliyo machoni, kama hiyo fursa ikiisha muda wake basi hakuna biashara tena. Unless uwe marketing genius. Hakuna bahati wala uchawi, bali ni kusoma uhalisia na mazingira.

Kama hiyo biashara imebuma, badala ya kulialia. Kaa chini tafuta solution ufanye biashara nyingine. Ndio maana nasema kabla hujafanya biashara, soma kuhusu biashara. Sababu hiyo ni profession kama professions nyingine.

Kile kitendo tu cha wewe kuamini umelogwa, tayari ni tatizo, na linapoanzia hapo. Sababu akili yako haitofanya chochote kutokana na hiyo excuse ya kijinga.

Uchawi na imani nyingine zitakupoteza na kukutia kwenye shimo utaloshindwa kutoka milele. Fanya kitu kingine.
 
Kama uchawi ungekuwa unaexist basi wakoloni wasingekuja Africa.
 
Pole sana mkuu tafuta mtumishi wa Mungu anaefanyia watu maombi bure bila pesa akufanyie maombi.
 
Hapo ndio kwenye tatizo.
Jiongeze kiujuzi ili uwe more creative kikazi na kibiashara. Work harder!
Achana na mambo ya kichawi, hutaendelea (hakuna uchawi hayo ni mawazo ya kijima).
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…