Huenda taarifa zako binafsi zimetumika na Wahalifu wa mitandaoni katika kujisajili kwenye jambo fulani fulani katika shughuli za kiuhalifu. Chunguza kwa umakini Sana juu ya suala hili, unaweza kuja kugundua jambo fulani.
Asifute ujumbe husika, isipokuwa anapaswa achukue tahadhari kubwa sana ya kutofuata maagizo ya Mtu huyo aliyemtumia huo ujumbe.
Anapaswa achunguze kiini hasa Cha kutumiwa ujumbe huko.
Asi-click Link za ujumbe aliotumiwa.
NB: Tahadhari za kiusalama mtandaoni: Kuna janga la IDENTITY THEFT humu mtandaoni. Be very careful.