Msaada: Nimetengwa kijamii

Kawaida tu
 
Jaribu kupunguza ulokole itakusaidia sana.
 
Kwani kule ulikohamia hakuna wanadamu

Huko uliko kwenye chama hicho tengeneza urafiki

Kingine muombe MUUMBA hakuna baya akupe heckima, akili na ujuzi

Ni pito tu lako utafika muda litapita
 
Tatizo ni wewe.
Jitafute ujivumbue...

Siasa kama zinakutenga na jamii maana yake ulikuwa unafanya upuuzi na kusingizia siasa....

Simama jitambue.
 
inauma sana ktk jambo la kuambiwa tunafanyaje unapewa poleee wewe funguka kila kitu hili ni jukwaaa huru huru fungukaa tutakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…