Msaada: Nimetengwa kijamii

1.Tafuta upendo wa [HASHTAG]#yesu[/HASHTAG] mean kama umeqakosea tubu kwa Mungu
2.tafuta pesa
Inavoonesha unawategemea kiuchumi kama sikosei
Hapana mkuu nimeshauriwa na wadau hapa niache kutegemea watu hata kama ni ndugu, so ni mimi na Mungu wangu tuu now.
Pesa nakotafuta kunatiwa propaganda hata sifanikiwi
 
usiposema ukweli utaishia kulalamika na kupewa pole tu. sasa hutaki kushare kilichokupata tutakusaidiaje? nenda police au mahakamani
Atasema wanajf wamemtenga vilevile
 
Mtumaini Mungu pekee na wale isitokee ukakubali shawaishiwa kuamini kitu kingine ili ufanikiwe.
Nguvu za kukuzuia wewe usifanikiwe hazitadumu milele,nàamini mwisho wako utakuwa mzuri
 
Mtumaini Mungu pekee na wale isitokee ukakubali shawaishiwa kuamini kitu kingine ili ufanikiwe.
Nguvu za kukuzuia wewe usifanikiwe hazitadumu milele,nàamini mwisho wako utakuwa mzuri
Nashukuru sana mkuu wanasema utazuia vyote lakini huwezi zuia rizki ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…