Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,032
Hakuna sababu mm nilijishtukia tuu sipo na wenzangu kama ilivyo kawaida.tatizo lako hata sisi tunaliona, hutaki kusema ni nini chanzo, umetengwa na jamii lakini si JAMII FORUMS funguka upate ushauri, usifiche sababu ya wewe kutengwa
Kwa maana hiyo mkuu sisi tulio na misimamo mikali upande wa upinzani hatueleweki?Unayotendewa na wana jamii ni reflections ya wewe unavyojiweka na wanavyokuona.......
Inawezekana mienendo yako haiendani au kueleweka na jamii iliyokuzunguka......
Mkuu ni kweli yamenikuta maishani.Pole sana Mkuu! Dunia tambala bovu!
Sijamkosea mtu bali mimi niko upinzani.Mkuu kuna jambo nahis ni vigum kutengwa na ndugu, jamaa na marafiki nahic wewe utakuwa na matatizo kama umewakosea waombe msamaha ,Neno samahani ni dogo sana lakini lina nguvu sana siyo kawaida. Jitahd ujue chanzo na si vinginevyo kukusaidia lazima ujue ASILI ya TATIZO
Mara nyingi mkuu propaganda zinatembea sana kila konaMkuu tafuta pesa nyingi, milango itafunguka ghafla wataanza kukuita KAA
Hapana mkuu sijawahi wala sitashiriki siasa kabisa. Thamani ya binadamu ni kubwa zaidi ya matumbo ya watu.Wewe tatizi ni vicheche viwili angalau ungekuwa kicheche
Yaani vicheche hata sisi tutakutenga
Cha msingi ndugu zako ni ccm na wewe ukakimbilia chadema
Harafu unawakashifu weeee
Cha msingi rudi ccm
Marafiki wanaweza kuwa bora sana zaidi ya ndugu.Mtafute dk shika akupe ushauri.
Aliwezaje kuishi miaka zaidi ya 40 Bila mawasiliano na ndugu zake.
Kuwa chadema?Una tatizo la kutengwa kwakua hauko open. Naamini utazidi kutengwa zaidi kwa hii tabia yako. Una tatizo kubwa
Ubarikiwe mkuu wanitia moyo sema sasa hata nakutafuta rizki nako kunazibwa kila dakika... hujui mambo ya serikali..Dawa ya kutengwa ni kufanikiwa. Ukifanikiwa hata kama baba yako alikususa utaona anajirudisha kujidai yeye ndiye baba yako.
Kwa hiyo wewe tafuta mafanikio kivyako vyako,ukifanikiwa utaona tu watu wanaanza kujinasibu "huyu ndugu yetu".
Kwenye mazingira yakohumo humo kunamafanikio, hata kuweza kupata mtandao huu kuongea na watuni mafanikio, kuna watu wametengwa kamawewe halafu internet hawana, hawana hata pa kuuliza maswali.Ubarikiwe mkuu wanitia moyo sema sasa hata nakutafuta rizki nako kunazibwa kila dakika... hujui mambo ya serikali..
Sasa ntayapata wapi mafanikio?
mkuuu umesema kwelitatizo lako hata sisi tunaliona, hutaki kusema ni nini chanzo, umetengwa na jamii lakini si JAMII FORUMS funguka upate ushauri, usifiche sababu ya wewe kutengwa
Asante mkuu nimekupata.Kwenye mazingira yakohumo humo kunamafanikio, hata kuweza kupata mtandao huu kuongea na watuni mafanikio, kuna watu wametengwa kamawewe halafu internet hawana, hawana hata pa kuuliza maswali.
anatusumbua akili zetu huyu. watu wawe serious kama wanataka kusaidiwa lasivyo wabaki na shida zaousiposema ukweli utaishia kulalamika na kupewa pole tu. sasa hutaki kushare kilichokupata tutakusaidiaje? nenda police au mahakamani
Sababu hizo hapo juu.mkuuu umesema kweli
sasa tutamsaidiaje? kama hata hatuelewi kitu? ni ajabu kabisaaaaaaaaaaaaa