Msaada: Nimetapeliwa na mtumishi wa Serikali, Halmashauri ya Kilolo, Iringa

Kuna mtu yuko arusha ametuliza 1.3 M kifala sana.
Wewe F wewe nikuonapo popote nitakuaibisha kunguni wewe
 
Sio poa kabisa. Afu huwa wanafanya kwà kudhamilia kabisa. Ni kitu ambayo imo ndani ya mioyo yao & they don't care at all.
 
Ukienda kichwa kichwa anaweza kukukana maana hakuna sehemu mlisaini , ulimpa kirafiki so endelea kumfanya rafiki ili arudishe kirafiki vinginevyo itakula kwako mazima.
 
Shida iko kwako si kwa huyo jamaa. Nasema tena upigwe tu.
Shida haiko kwangu, ipo kwake. Kwà umri wake hakupaswa kuwa na hulka ya namna hiyo. #Self respect + Self esteem , ni vitu muhimu sana katika safari yetu ya maisha.

Mawasiliano hujenga , Heshima na kuaminiwa. Nafikiri lengo lake ni kuvunja mawaliano Kati yangu na yeye.

Na mpaka mtu anafikia kukufanyia hivyo,...ni kwamba kakudharau....kaona humfai tena kwenye maisha yake,...hauna umuhimu tena wala thamani yeyote kwenye maisha yake. Ni anakuacha ukiwa na swali kubwa...Nimemkosea nini kwenye maisha yake?
 
Ukienda kichwa kichwa anaweza kukukana maana hakuna sehemu mlisaini , ulimpa kirafiki so endelea kumfanya rafiki ili arudishe kirafiki vinginevyo itakula kwako mazima.
Ni Sawa hata akinikana kimwili....but ukweli utabaki pale pale. Na utamtesa maisha yake yote ...dhambi hiyo watairithi wanae na wajukuu zake pia..mpaka pale watakapojua namna ya kuvunja hiyo roho ya dhuluma.

#Truth does not loose the battle
 
Kwanza hujatuambia hayo maneno alokwambia hadi ukajua kwamba kakutapeli

Pili ishu ya watumishi wala huna haja ya kupata namba za DED sijui mawasiliano wala nini kumbuka kazi utumishi una miiko yake

Cha kufanya hapo ni hiki...
Kama una uhakika ni mtumishi katika halmashauri husika basi wewe nenda tu physically mpaka ofisini kwa afisa utumishi wake (mwakilishi wa ded) kisha mwelekeze kistaarabu tu utaona kinachofuata

Jambo hilo nina experience nalo (ushuhuda) kuna watumishi wengi tu wanakopa fedha kwenye taasisi za fedha mkononi kisha wanatokomea lakini wenye pesa zao wanapeleka hoja kwa maafisa utumishi fasta inasolviwa

Narudia tena na hapa zingatia sana... USIPIGE SIMU KWA DED WALA NINI or otherwise kama upo mbali (ughaibuni) basi tumia njia ya email kufikisha malaalamiko yako

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Asante kwà ushauri mzuri Ndugu
 
Habari mkuu,,,

Samahani kwa kuingilia huu Uzi ila na Mimi Nina inshu tofauti inayomuhusu afisa maendeleo Toka halmashauri,inshu ipo hivi juzi kati hapa nilipigiwa simu kama mwakilishi wa kikundi kualikwa kwenda Bukoba kwa ajili ya wiki ya vijana kitaifa na hapo tukaambiwa kutakuwa na posho na kila kitu watagharamia nikakubali tukaenda tulikaa kama siku Tano Sasa tulivyokuwa huko siku ya pili nikamuulizia vip kuhusu posho akasema vizuri kwamba Kuna mtu amemuacha Nyuma huko ofisini anashughulikia ndani ya siku mbili mambo yatakuwa sawa kwa hiyo atakuja nazo hizo posho nikatulia Sasa tumekaa huko Hadi kuondoka tunarudi nyumbani tulipofika sehemu ya kuagiana akanipa Ela kidogo akisema amekopa sehemu kwa hiyo Ile ikitoka nitamrudishia Sasa tumefika nyumbani baada ya wiki moja nikamkumbusha vip Ile posho yetu akasema mhasibu aliyekuwa anashughulikia Ile posho amepata msiba kwa hiyo akirudi ataweka sawa Sasa ikapita wiki nikamkumbusha Tena akasema mhasibu karudi ila kasema tusubirie mgawo nikazidi kumuulizia huo mgao unafanyikaje Hadi mtu anapata hiyo posho hakujibu nikazidi kumuulizia tena akaniambia pesa ya serikali sio ya kuipata kirahisi hivyo kama ninavyodhani ila mi nikamkumbusha mbona ulisema hiyo posho tutapewa ndani ya siku mbili tatu ndo hakujibu Tena mpaka wa Leo nipo nasubiria hapa sijui nifanyeje nimemtumia Tena text nione atakavyojibu na mawasiliano ndo hayo hapo chini.
Screenshot_2022-11-07-12-21-51-56_7352322957d4404136654ef4adb64504.jpg

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Habari mkuu,,,

Samahani kwa kuingilia huu Uzi ila na Mimi Nina inshu tofauti inayomuhusu afisa maendeleo Toka halmashauri,inshu ipo hivi juzi kati hapa nilipigiwa simu kama mwakilishi wa kikundi kualikwa kwenda Bukoba kwa ajili ya wiki ya vijana kitaifa na hapo tukaambiwa kutakuwa na posho na kila kitu watagharamia nikakubali tukaenda tulikaa kama siku Tano Sasa tulivyokuwa huko siku ya pili nikamuulizia vip kuhusu posho akasema vizuri kwamba Kuna mtu amemuacha Nyuma huko ofisini anashughulikia ndani ya siku mbili mambo yatakuwa sawa kwa hiyo atakuja nazo hizo posho nikatulia Sasa tumekaa huko Hadi kuondoka tunarudi nyumbani tulipofika sehemu ya kuagiana akanipa Ela kidogo akisema amekopa sehemu kwa hiyo Ile ikitoka nitamrudishia Sasa tumefika nyumbani baada ya wiki moja nikamkumbusha vip Ile posho yetu akasema mhasibu aliyekuwa anashughulikia Ile posho amepata msiba kwa hiyo akirudi ataweka sawa Sasa ikapita wiki nikamkumbusha Tena akasema mhasibu karudi ila kasema tusubirie mgawo nikazidi kumuulizia huo mgao unafanyikaje Hadi mtu anapata hiyo posho hakujibu nikazidi kumuulizia tena akaniambia pesa ya serikali sio ya kuipata kirahisi hivyo kama ninavyodhani ila mi nikamkumbusha mbona ulisema hiyo posho tutapewa ndani ya siku mbili tatu ndo hakujibu Tena mpaka wa Leo nipo nasubiria hapa sijui nifanyeje nimemtumia Tena text nione atakavyojibu na mawasiliano ndo hayo hapo chini.View attachment 2409190

Daah watanzania wamekua na roho mbaya sana siku hizi. Yaani mtu anatafuta laana, mikosi na mabalaa kwà maksudi.
 
Njia ni hiyohiyo boss lakini usiende kwa kejeli wala kiburi maana mtumishi kwa mtumishi mwenzie huwa ni ndugu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Habari za saa hizi Ndugu zangu,

Kuna mtu niliwahi kusoma nae Chuo, alikua room mate na classmate wangu. Tulivyomaliza Chuo, mawasiliano yetu yalikua ya kawaida tu kujuliana hali.

Nakumbuka wiki kama 3 hivi alinipigia simu kuniomba msaada wa pesa, roho yangu ikasita sana, nikamwambia sina kwasasa.

Baada ya wiki akanipigia tena simu, wakati huu alikua ni kunisabai tu , na ni kama alikua anataka kuniambia kitu lakini hakufunguka.

Bwana Bwana, baada ya wiki akanipigia tena simu akaniambia ana emergency nimsaidie kama dollar 500 hivi na akasema atanirudishia jioni au kesho yake.

Nikamuuliza mara mbilimbili. ni kweli utafanya hivyo kaka? Akasema ndio Bro na kwamba hata niangusha.

Nikamuuliza tena, coz nilimuona kama hayuko Sawa, je hiyo emergency yako inakutaka uwe jumla na dollar ngapi? (Lengo hapa ni kumfanya asiendelee kuwapigia watu wengine simu + kulinda Heshima yake , maana kuomba omba mtu mzima napo huwa sio vizuri) akaniambia ni dollar 1000. Basi pasipo hiyana, nikamwambia anitumie acc.no yake na nikamrushia kiroho safi.

Unajua nini, jioni ilivyofika nikaona yupo kimya, nikavuta subra mpaka kesho yake. Subiria subiria weee wapi Bwana mtu yupo kimya.

Majira kama ya saa 11 jioni nikamvutia waya, jamaa akawa hapokei simu mpaka baadae usiku jamaa akaja na excuses kwamba alikua mbali na simu brabra, enhe vipi kuhusu mpunga wangu bro, daah asee watu Wana roho mbaya sana Ndugu zangu, maneno aliyoniambia nikaona wazi nimetapeliwa. Niliumia sana na mpaka sasa naumia sana.

Huyu mtu kwa nijuavyo ni Mtumishi wa Halmashauri ya KILOLO, IRINGA. Tafadhali, naombeni msaada wenu kupata mawasiliano ya DED wa KILOLO, au ya HR wa KILOLO. Lengo nataka nimuulizie tu kama yupo bado kazini na niweze kumuibukia huko aliko. Nimpe fundisho la maisha.

Hiyo pesa nilikua nashida nayo sana huruma yangu kwake imeniponza. Naamini hili pia liwe fundisho kwetu sote. WATU WENGI SIO WAAMINIFU KWENYE MASUALA YA PESA.

Nashauri katika kipindi hiki cha kumalizia mwaka usithubutu kamwe kumkopesa mtu pesa yako atakuliza maana hiyo pesa tegemea kuipata mwakani kuanzia march, watu wanaroho mbaya sana.

Maisha sio magumu Ndugu zangu lakini ni watu ndio wanatufanya tuwe na maisha magumu.
Simulizi lako limefubaa.
Ulipofika kwenye utamu, yaani kwenye kiini cha utapeli wenyewe ukamute, umetuficha maneno yote ya kitapeli alokwambia, sasa kuna maana gani kutuuzia debe tupu wananzengo?

Inaonekana bado unamhusudu huyo mwizi, hata angelitokea leo mbele yako hauwezi kumfanya lolote, dalili nimeziona mie.
 
Habari za saa hizi Ndugu zangu,

Kuna mtu niliwahi kusoma nae Chuo, alikua room mate na classmate wangu. Tulivyomaliza Chuo, mawasiliano yetu yalikua ya kawaida tu kujuliana hali.

Nakumbuka wiki kama 3 hivi alinipigia simu kuniomba msaada wa pesa, roho yangu ikasita sana, nikamwambia sina kwasasa.

Baada ya wiki akanipigia tena simu, wakati huu alikua ni kunisabai tu , na ni kama alikua anataka kuniambia kitu lakini hakufunguka.

Bwana Bwana, baada ya wiki akanipigia tena simu akaniambia ana emergency nimsaidie kama dollar 500 hivi na akasema atanirudishia jioni au kesho yake.

Nikamuuliza mara mbilimbili. ni kweli utafanya hivyo kaka? Akasema ndio Bro na kwamba hata niangusha.

Nikamuuliza tena, coz nilimuona kama hayuko Sawa, je hiyo emergency yako inakutaka uwe jumla na dollar ngapi? (Lengo hapa ni kumfanya asiendelee kuwapigia watu wengine simu + kulinda Heshima yake , maana kuomba omba mtu mzima napo huwa sio vizuri) akaniambia ni dollar 1000. Basi pasipo hiyana, nikamwambia anitumie acc.no yake na nikamrushia kiroho safi.

Unajua nini, jioni ilivyofika nikaona yupo kimya, nikavuta subra mpaka kesho yake. Subiria subiria weee wapi Bwana mtu yupo kimya.

Majira kama ya saa 11 jioni nikamvutia waya, jamaa akawa hapokei simu mpaka baadae usiku jamaa akaja na excuses kwamba alikua mbali na simu brabra, enhe vipi kuhusu mpunga wangu bro, daah asee watu Wana roho mbaya sana Ndugu zangu, maneno aliyoniambia nikaona wazi nimetapeliwa. Niliumia sana na mpaka sasa naumia sana.

Huyu mtu kwa nijuavyo ni Mtumishi wa Halmashauri ya KILOLO, IRINGA. Tafadhali, naombeni msaada wenu kupata mawasiliano ya DED wa KILOLO, au ya HR wa KILOLO. Lengo nataka nimuulizie tu kama yupo bado kazini na niweze kumuibukia huko aliko. Nimpe fundisho la maisha.

Hiyo pesa nilikua nashida nayo sana huruma yangu kwake imeniponza. Naamini hili pia liwe fundisho kwetu sote. WATU WENGI SIO WAAMINIFU KWENYE MASUALA YA PESA.

Nashauri katika kipindi hiki cha kumalizia mwaka usithubutu kamwe kumkopesa mtu pesa yako atakuliza maana hiyo pesa tegemea kuipata mwakani kuanzia march, watu wanaroho mbaya sana.

Maisha sio magumu Ndugu zangu lakini ni watu ndio wanatufanya tuwe na maisha magumu.
Anaitwa nani?! Mimi nipo hapa kilolo DED
 
Back
Top Bottom