Msaada Nimesahau patten za Itel(Inote)

Msaada Nimesahau patten za Itel(Inote)

ikiwa imezimwa bonyeza volume up na power button kwa pamoja... itawaka ww shikilia tu usiachie... then achia power button na volume button.. itakuletea. screen nyeusi.. ina vimaelekezo navigate kwa kutumia volume up n down buttons ukifika kwenye factory reset chagulia/bonyeza power button.. itarestore simu yako ila itafuta kila kitu
 
Watu mmekariri mnafikiri kila simu ni V+ Power, hizi simu za itel mpaka utumia flash box..!
 
We endelea kuchora chora tu alafu baadae utaletewa option ya kuweka email yako unayoitumia, ukishaiweka na password itafunguka vizuri tu.
 
Jibu la swali lako jaribu ushauri wa wakuu hapo juu.

Kwenda mbele, tafuta kitu cha fingerprint recognition.

Kuchora chora kushapitwa na wakati, anaweza kuja mjanja akaiangalia simu yako tu kwa kuwa unachora pattern hiyo hiyo kila siku akaiona.
 
ndio kaka, nimeassume labda kila kitu kipo hivyo japo pia anaweza kutumia command ya fastboot -w kama yaweza kumsaidia

Sio sahihi, to use adb or fastboot you just need debugging enabled, and the computer you are using to be trusted by the device. Root is NOT necessary as you answered the guy juu hapo.
 
Sio sahihi, to use adb or fastboot you just need debugging enabled, and the computer you are using to be trusted by the device. Root is NOT necessary as you answered the guy juu hapo.

Unajua maana ya nimeassume?
 
Unajua maana ya nimeassume?

Unajua matumizi ya comma? "Ndio kaka, nimeassume...." Your answer was before the comma. He asked kama debugging mode and root is needed and that was your answer, what came after comma ni maelezo.
So your answer was supposed kuwa 'Hapana' na kama ulikuwa na assumption ungemrekebisha kuwa root sio lazima in your explanation.
And lastly, it doesn't take a lot to acknowledge a miscommunication in your answer.
 
Haya sasa nimekutana na engineer wa google, haya bro yaishe haya sio ugomvi, nilitaka ku share kidogo ninachokifahamu na uzoefu mdogo nilionao kwenye ishu za linux. Peace
 
ss wakuu njia zote zimegoma nimefanikiwa2 kuwasha wireles na packet data nikiweka email result invalid email or pass
 
Watu mmekariri mnafikiri kila simu ni V+ Power, hizi simu za itel mpaka utumia flash box..!

yaah..ni kweli inote zinazinguaga hiyo method(haziletagi option ya factory reset)..ILA SIO ZOTE... bora ajaribu hii njia ikizingua ndio ajaribu kwenda kuflash kwa fundi using tools.. ingawa pia kama ana kompyuta aweza download flash files akafanya mwenyewe
 
Back
Top Bottom