Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 956
- 420
it1352
hiyo sina hakika sana kama ina built in recovery, itabidi ujaribu kutoa betri, uiwashe huku umeshikilia volume up bilateral kuiachia, Keisha cheki nini kitatokea, ikitokea recovery basi click kwenye factory reset
nimejaribu ku pres and hold power and volume up inawaka inaandika Itel alafu inaganda inakaa kama dakika 5 alafu inarudi kuingiza email na pass
kwani hakuna njia ya kutumia tools kwenye pc au njia nyingine
hapana kweni ni vigumu sana?
Sio vigumu sana ila kwa wewe ambae hujawahi kutumia hiyo adb ndio itakusumbua, maana kuna process za kufuata kabla hujaanza kuitumia hiyo kitu
Samahani mkuu hivi kwa kutumia adb mode ni lazima simu iwe kwenye debugging mode + Rooted?unafahamu jinsi ya kutumia adb (android debugging bridge) kwenye pc?
Iloweke na omo masaa ma4 itakuwa unlock
msaada tafadhali niliazama mtu cmu yangu akakosea patten mpaka ikajifunga sasa ikawa inaniomba email na password ya gmail sasa kila nikiweka inaniandikia invalid username or password na ninazoziandika ndizo za kweli
samahani mkuu hivi kwa kutumia adb mode ni lazima simu iwe kwenye debugging mode + Rooted?
nipe maelekezo bac ya kutumia pc
Tafuta kwanza drivers za hiyo itel install, kisha tafuta fastboot tools, zima kisha connect device yako kwenye PC huku umeshikilia volume up, subiri imalize kuinstall drivers kisha fungua lile folder ulipoweka zile fastboot tools, bonyeza shift kisha right click sehemu yoyote nyeupe humo ndani ya folder kisha click open command window here
ukimaliza hapo, andika humo
fastboot devices
ikikuletea list of devices ikakuonyesha device ipo connected basi andika
fastboot -w
subiri imalize
disconnect kisha washa cm ujaribu, kwenye list of connected devices kama haikuonekana basi drivers hazipo sawa
poa ngoja nijaribu