Mkuu haujaeleza unatumia OS gani? Ila, unazima PC kisha washa tena, wakati itapowaka katika screen ya kwanza tu bonyeza F8, kisha chagua safe mode piga ok. Ikifika sehemu ya user chagua administrater press enter, ikishawaka nenda ktk control pannel chagua user account, fungua kissha nenda ktk remove user password ukimaliza zima kisha washa tenanimesahau password katika PC yangu na ina data muhimu sana kwa anayejua ufumbuzi nitashukuru sana
Mkuu haujaeleza unatumia OS gani? Ila, unazima PC kisha washa tena, wakati itapowaka katika screen ya kwanza tu bonyeza F8, kisha chagua safe mode piga ok. Ikifika sehemu ya user chagua administrater press enter, ikishawaka nenda ktk control pannel chagua user account, fungua kissha nenda ktk remove user password ukimaliza zima kisha washa tena

Ni sawa ila hyo unakubal kama administrator account haikuwa na password ila kama ilikuwa nayo itakataa unaweza tumia software ya kutoa password ambyo inakuwa kwnye CD cha muhimu unaset boot order ya kwanz iwe CD me software unaweza kugoogle "password remover software " then download na kuburn kwny CD ila kama upo dar naweza kukusaidia kukupatia hyo software were nicheck fb kwa jna jemc edes
nimesahau password katika PC yangu na ina data muhimu sana kwa anayejua ufumbuzi nitashukuru sana
Mkuu nimekwama kabisa nilitaka ku- format nimeset boot from CD inaniambia press any key lakini hai boot.