Skillseeker
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 225
- 34
Habari za kwenu wanaJF,
Naombeni mnisaidie. Niliinstall folder lock 7.1 na nikaiwekea password (master password). sasa sijaitumia kwa muda kidogo. toka jana nilikuwa nataka kuitumia ili niweze kupata files zangu lakini sijafanikiwa kwa kuwa password ninayoiingiza kila saa siyo yenyewe..Naombeni msaada wenu kwakweli..
yani hapa sijui nini cha kufanya maana kila nikifikiria sipati jibu...
Mmmmhh!! Langu Jicho Tu. :lol:Ukipata Live cd ya Linux au ukiinstall linux along side Windows kwishney unaingia na linux unapekua folder lock na mafile yako yote unayatoa bila fujo yeyote unayahamisha then unaweza ifuta afu ukaiweka upya with a new password. Sidhan kama unaweza ku reset hapo. Again ningekua karibu mkuu nina Live ya linux kwa Xternal 2ngerekebisha nkakuwekea na Version 1 ya Linux win ikizingua unaingia na linux kwisha habhari yake. But niko mbali kidogo nw. Tafta linux 2 kama files ni very important, kama ni porn iteme 2 u'll get others :lol:
Mmmmhh!! Langu Jicho Tu. :lol:
Ukipata Live cd ya Linux au ukiinstall linux along side Windows kwishney unaingia na linux unapekua folder lock na mafile yako yote unayatoa bila fujo yeyote unayahamisha then unaweza ifuta afu ukaiweka upya with a new password. Sidhan kama unaweza ku reset hapo. Again ningekua karibu mkuu nina Live ya linux kwa Xternal 2ngerekebisha nkakuwekea na Version 1 ya Linux win ikizingua unaingia na linux kwisha habhari yake. But niko mbali kidogo nw. Tafta linux 2 kama files ni very important, kama ni porn iteme 2 u'll get others lol
nashukuru sana kaka..sasa vipi kuhusu kuitoa na kuiweka tena maana hata kuiunistall inataka password bado..yani inakiburi sana..
Inategemea hiyo folder lock infanta nini exactly maana naona ina locking an encryption, locking unaweza ukaizunguka kwa kwenda Linux au hata safe mode ila Kama ulifanya encryption basi sahau files zako.