Msaada:Nimesahau Password ya simu

Msaada:Nimesahau Password ya simu

Tumia hard reset!bonyeza Menu na power off kwa pamoja huku simu ikiwa off!
 
Kuna simu kama Sony it's very hard to reset.
Ni tecno t 363
9dbc4e055aabf80eb08aeb154d63f1fe.jpg
 
Peleka waka flash cost itakuwa ni kama 5000
 
Sina uhakika kama simu ndogo zisizo za Android kama zina secret codes au menu .. cha kufanya hapo wewe nenda kwa mafundi simu huwa wana vifaa vitakavyoweza kukusaidia ku-restore simu yako..

Muhimu: Usisumbuke na kupoteza muda wako wa kufanya au kujaribu kurestore kwa njia ya online, kwani ni sawa na kujaza maji kwenye gunia.
 
Binadamu tumeumbwa kusahau ndo maana unakuta mtu anakuwa na kumbukumbu alafu baadae zinapotea
Password ambayo unaifungua kila siku halafu inatokea kuisahau!? Are you kidding me, Ikiwa ni password unayoitumia mara moja moja hiyo kusahau inawezekana kabisa!
 
Sasa ndo kasahau mkuu na imetokea tuwe na imani kasahau maana wakati mwingine unaweza ukaibadilisha muda mchache uliopita hukupigiwa simu tangu asubuhi ukajikuta umesahau na huwa tuna mtindo wa kuamini akili zetu sie waswahili kwamba tutakumbuka ndo maana huwa hatu note kwenye notebook, by the way mie iliwahi kunitokea hasa kwa sie wenye password nyingi mara JF, mara facebook, mara email ya yahoo, mara email ya gmail ya simu achilia mbali instagram na password ya computer na instagram na bado za ATM (kuna factor nyingi zinazomfanya mtu asahau hasa unapoweka password mpya alafu usiitumie simu kwa masaa kadhaa)
 
Unless uniambie hiyo simu huwa anaitumia mara moja moja lakini huwezi nishawishi kuwa simu unayotumia kila siku tena kila unapotaka kuandika sms au kupiga simu lazima utumie, kuhusu hizo passwords za account mbalimbali ni rahisi kusahau kwa sababu si kila mara unaingia kusoma email au kutembelea JF
 
POA
 
Back
Top Bottom