Msaada: Nimepoteza vyeti vya masomo

Msaada: Nimepoteza vyeti vya masomo

fradomontz

New Member
Joined
Jul 27, 2025
Posts
2
Reaction score
0
Naitwa Frank Donald Mwakanosya, nmepoteza vyeti vyangu vyote cha form4,form6,chuo,transcript na cha kuzaliwa. Vyote vilikuwa kwenye bahasha sababu nlitoka kufanya interview
 
ongezea hapo juu :
yoyote atakae viona aviripoti kituo chochote cha police
au apige no:07.....
 
Ume weka hadi namba za Mbunge ,diwani na balozi wa nyumba kumi safi sana
 
Naitwa Frank Donald Mwakanosya, nmepoteza vyeti vyangu vyote cha form4,form6,chuo,transcript na cha kuzaliwa. Vyote vilikuwa kwenye bahasha sababu nlitoka kufanya interview
Kareport kwanza polisi upewe loss report ulinzi wako endapo vitaoneka eneo tukio la uhalifu umefanyika

Ukimaliza tangaza kwenye gazeti na redio na pia influence wa mitandao ila kwenye redio huwa bei rahisi na gazzete

Kama hujapata asee mwezi ujao nenda necta watakupa utaribu ambao ni loss report pamoja na kutangaza kwenye gazette juu upotevu huo baada ya hapo wataanza kushughulia kesi yako hapo kesi hiyo kuja kuisha mwakani necta wako very sensitive mtu akipoteza vyeti lazima waprove ni wewe kweli na ulisoma kweli au muhuni tu

Hicho cha kuzaliwa ukiwa na hela ni fasta tu rita cha chuo .transcript sio issue nayo

Goodlucky..
 
Lost report tayari nimetoa...shukrani sana nmekuelewa
 
Back
Top Bottom