Sometimes people feel that way after a trauma. Kwa kua akili yako inashindwa ku-deal na hali ngumu fulani ilo kutokea, inajifunga kabisa na unakua detached.
Unaishi maisha kama sio yako vile, bila ku-develop emotional bound na maisha yako. uoga, interest, sadness etc. Jaribu kurudi nyuma kidogo uone ni kuanzia mwezi/mwaka gani, na what key event happened to youe life then.
Inaweza kua ni kitu cha kawaida tu ila impact yake ikawa kubwa kwako ki-psychologia.