nestorymgonya
New Member
- Oct 17, 2023
- 3
- 6
Nimepoteza result slip ya form six halafu inahitajika chuo kwenye usajili. Naombeni mnisaidie nifanye nini ili niweze kufanya usajili maana sielewi.
uwe makini, unaweza ukatongozwa na watoto zakoKumbe na kidato mpo humu? Pole sana...karipoti police
Nimepoteza result slip ya form six alaf inaitajika chuo kwenye usajili naomben mnisaidie nifany nn ili niweze kufny nn maan sielew
Duuwe makini, unaweza ukatongozwa na watoto zako
1- Piga simu chuo husika, Tayari wana matokeo yako, watakupa mwongozo nini cha kufanya, Kumbka kila kitu kiko kweny mtandao/mfumo, na chuo kina access.result slip ya form six alaf inaitajika chuo kwenye usajili naomben
Kutongozwa si tatizo,tatizo ni kukubali wakati tayari una mumeuwe makini, unaweza ukatongozwa na watoto zako
Hapo tu.Zile results kwa system huwa zipo .
1 : nenda polisi piga ripoti , nezt tua Necta uwaeleze process ianze .
2: nenda chuo ahead of time ,explain kilichotokea ,watakuuliza kama umepiga ripoti polisi utawapa confirmation .
Hapo watapiga simu tu moja kwa moja wapate results kwa system utapewa interim acceptance chuo slip yako original ukifuatilia .
Ila beba hela kiasi tu incase upatane na maafisa vichwa ngumu ulainishe mikono ,sijasema lazima rushwa ila issue kama hii lazima utapatana na mmoja fala tu
Hilo sio tatizo, tatizo kumuachia uch* mtoto wa 2009 akupeleke mount KilimanjaroKutongozwa si tatizo,tatizo ni kukubali wakati tayari una mume
Unamwachia tu kama uchi upo free kwanini mtoto asikujue kukoje alikotoka Boss?Hilo sio tatizo, tatizo kumuachia uch* mtoto wa 209 akupeleke mount Kilimanjaro
Mkuu Bora sisi wazee wenzako, sio hawa vijana wa hovyoUnamwachia tu kama uchi upo free kwanini mtoto asikujue kukoje alikotoka Boss?
Kukutangaza baada ya kukojoleshwa au kabla? Maana kudeal na matangazo wakati ushafika kileleni hii ni changamoto na kupoteza mudaMkuu Bora sisi wazee wenzako, sio hawa vijana wa hovyo
Kama sio connection basi atakutangaza
Baada ya kukojozwa, huko vijiweni anatoa story SasaKukutangaza baada ya kukojoleshwa au kabla? Maana kudeal na matangazo wakati ushafika kileleni hii ni changamoto na kupoteza muda
Unadhani maneno uua Mkuu? Maneno uumiza ukiyabeba....sikiliza sepaBaada ya kukojozwa, huko vijiweni anatoa story Sasa
Yule dada anamwaga maji, fire wakasome
Analia kwa hisia Kama Steve nyerere akiwa msiban
Kila ukikqta mitaa unaoneshwa vidole tu
NakubaliUnadhani maneno uua Mkuu? Maneno uumiza ukiyabeba....sikiliza sepa