Msaada: Nimepoteza result slip ya form six

nestorymgonya

New Member
Oct 17, 2023
3
6
Nimepoteza result slip ya form six halafu inahitajika chuo kwenye usajili. Naombeni mnisaidie nifanye nini ili niweze kufanya usajili maana sielewi.
 
result slip ya form six alaf inaitajika chuo kwenye usajili naomben
1- Piga simu chuo husika, Tayari wana matokeo yako, watakupa mwongozo nini cha kufanya, Kumbka kila kitu kiko kweny mtandao/mfumo, na chuo kina access.

2- Au fika siku moja kabla ya siku ya usajili, eleza tatizo lako, na watakusaidia kukupa mwongozo.
 
Zile results kwa system huwa zipo .
1 : nenda polisi piga ripoti , nezt tua Necta uwaeleze process ianze .
2: nenda chuo ahead of time ,explain kilichotokea ,watakuuliza kama umepiga ripoti polisi utawapa confirmation .
Hapo watapiga simu tu moja kwa moja wapate results kwa system utapewa interim acceptance chuo slip yako original ukifuatilia .

Ila beba hela kiasi tu incase upatane na maafisa vichwa ngumu ulainishe mikono ,sijasema lazima rushwa ila issue kama hii lazima utapatana na mmoja fala tu
 
Hata ukitaka result slips za kujaa gunia utapewa. Result slip sio Cheti.Wewe nenda baraza la mitihani na number yako ya mtihani , sijui wanatoza kiasi gani hivi sasa.
 
Zile results kwa system huwa zipo .
1 : nenda polisi piga ripoti , nezt tua Necta uwaeleze process ianze .
2: nenda chuo ahead of time ,explain kilichotokea ,watakuuliza kama umepiga ripoti polisi utawapa confirmation .
Hapo watapiga simu tu moja kwa moja wapate results kwa system utapewa interim acceptance chuo slip yako original ukifuatilia .

Ila beba hela kiasi tu incase upatane na maafisa vichwa ngumu ulainishe mikono ,sijasema lazima rushwa ila issue kama hii lazima utapatana na mmoja fala tu
Hapo tu.
 
Usikomplicate maisha,download matokeo yako,nenda kwa wakili au mahakamani waka-certify sehemu ya namba yako ,tayari unakuwa umemaliza
 
Ingia mtandaoni chukua matokeo yako... Then nenda Katie taarifa kituo Cha polisi... Shika begi nenda kale pesa ya mkopo baada ya miaka 3 njoo tusubiri ajira wote hapa.
 
Mkuu Bora sisi wazee wenzako, sio hawa vijana wa hovyo
Kama sio connection basi atakutangaza
Kukutangaza baada ya kukojoleshwa au kabla? Maana kudeal na matangazo wakati ushafika kileleni hii ni changamoto na kupoteza muda
 
Kukutangaza baada ya kukojoleshwa au kabla? Maana kudeal na matangazo wakati ushafika kileleni hii ni changamoto na kupoteza muda
Baada ya kukojozwa, huko vijiweni anatoa story Sasa
Yule dada anamwaga maji, fire wakasome
Analia kwa hisia Kama Steve nyerere akiwa msiban

Kila ukikqta mitaa unaoneshwa vidole tu
 
Baada ya kukojozwa, huko vijiweni anatoa story Sasa
Yule dada anamwaga maji, fire wakasome
Analia kwa hisia Kama Steve nyerere akiwa msiban

Kila ukikqta mitaa unaoneshwa vidole tu
Unadhani maneno uua Mkuu? Maneno uumiza ukiyabeba....sikiliza sepa
 
Result slip haina usumbufu nenda utoe report polisi upewe loss report kwa hatua za awali alaf nenda chuo utapewa utaratibu rahisi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom