Msaada nimepoteza ladha ya chakula na harufu

pole sana mkuu wangu..naomba nikuulize maswali machache
●je hupati homa?(mwili kuchemka)
●Je hujaugua mafua au kikohozi hivi karibuni?
● kifua hakikukuumi au kubana?
●Huharishi?
●Mwili hauukumi yaani maumivu ya viuongo?

kama majibu yote ni ndiyo kacheki x_ray kucomfirm kama una viral pneumonia(corona)
pia unaweza kupima vipimo vingine kujua zaidi.
Binafsi mimi ni daktar lakini hizo dalili zilinipata baada ya kupima nikakutwa na covid 19 hapa nilipo natumia matibabu na ninaendelea vyema🤝🤝🤝
 
pole sana mkuu wangu..naomba nikuulize maswali machache
●je hupati homa?(mwili kuchemka)...
Mwili unachemka mara nyingi usiku
*Nakohoa ila sio Sana
*Sina maumivu yeyote
Tatizo Ni joto kupanda na kukosa harufu na taste viungo viko sawa ila mwiri haujachangamka
 
Baadhi ya wanaougua COVID wanakuwa na very mild symptoms. Huyu anaweza kuwa na hizo mbili tu za kupoteza taste na sense of smell. Hawa mara nyingi huu ugonjwa hauwaathiri sana. Sijui siri ni nini lakini niliwahi kusoma kwamba baadhi ya watu wenye blood group O COVID haiwasumbui sana.

pole sana mkuu wangu..naomba nikuulize maswali machache

●je hupati homa?(mwili kuchemka)
●Je hujaugua mafua au kikohozi hivi karibuni?....
 
Baadhi ya wanaougua COVID wanakuwa na very mild symptoms. Huyu anaweza kuwa na hizo mbili tu za kupoteza taste na sense of smell. Hawa mara nyingi huu ugonjwa hauwaathiri sana. Sijui siri ni nini lakini niliwahi kusoma kwamba baadhi ya watu wenye blood group O COVID haiwasumbui sana.
mkuu binafsi mimi ni group O rhesus factor positive
na hilo ulilolisema inaweza kuwa sahihi kabisa...
 
Ndugu zangu takriban ninasiku mbili Sasa nimekosa kuhisi harufu Wala laza ya chakula ingawa leo kidogo laza imekuja kwa mbali snaa ila harufu bado sijaweza kuhis nitumie dawa gan?
Halafu kuna harufu fulani kali sana unaisikia inatoka kinywani ikiambatana na makohozi ...???
 
Mwili unachemka mara nyingi usiku
*Nakohoa ila sio Sana
*Sina maumivu yeyote
Tatizo Ni joto kupanda na kukosa harufu na taste viungo viko sawa ila mwiri haujachangamka
Nenda kafanye check up mkuu wanguna upate matibabu kabisa.

Kama ukiwa tayari niko lazi nikuandikie dawa ambazo tunazitumia kutibu corona pt...ambazo hata mm nazitumia mpaka muda huu.
 
Ndugu zangu takriban nina siku mbili Sasa nimekosa kuhisi harufu Wala laza ya chakula ingawa leo kidogo laza imekuja kwa mbali snaa ila harufu bado sijaweza kuhis nitumie dawa gan?
Dah.... Ultra Viena India Kilo Omega 100% 🤭
 
Mwili unachemka mara nyingi usiku
*Nakohoa ila sio Sana
*Sina maumivu yeyote
Tatizo Ni joto kupanda na kukosa harufu na taste viungo viko sawa ila mwiri haujachangamka
Wewe una Corona, COVID 19 yaani.
 
Ndugu zangu takriban nina siku mbili Sasa nimekosa kuhisi harufu Wala laza ya chakula ingawa leo kidogo laza imekuja kwa mbali snaa ila harufu bado sijaweza kuhis nitumie dawa gan?
tafadhali, jitenge na wenzako, tumia barakoa, kula malimao, machungwa, tangawizi, azuma na vitamin C kwa wingi. fanya mazoezi na kunywa maji ya kutosha muda wote. utanishukuru!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom