Naomba msaada wa haraka nimepata tenda. Ila wanataka niwe certified na w/ya temeke na mimi ni mpishi mdogo tu ndio kwanza nieanza anza kwa yeyote anayeweza nisaidia hata kunipa muongozo!
Naomba msaada wa haraka nimepata tenda
Ila wanataka niwe certified na w/ya temeke,
Na.mimi ni mpishi mdogo tu ndio kwanza nieanza anza kwa yeyote anayeweza nisaidia hata kunipa muongozo! Natanguliza shukrani!
siina ujuzi kwenye hili suala ila nahisi ukienda kwenye ofisi za mkuu wa wilaya unaweza kupata muongozo kwamba ili mtu aweze kuwa certified unapita njia gani...pia ndugu yako mimi kama unahitaji mtu wa kukusaidia pilika naomba kazi namba yangu 0658899501
Naomba msaada wa haraka nimepata tenda. Ila wanataka niwe certified na w/ya temeke na mimi ni mpishi mdogo tu ndio kwanza nieanza anza kwa yeyote anayeweza nisaidia hata kunipa muongozo!
Nenda manispaa ulizia ila usiseme umepata tenda. Sema unataka upate kibari ili uombee kazi. Ungeweza hata kuanzia ofisi ya kata kumuuliza afisa maendeleo ya jamii