Msaada: Nimeota mpenzi wangu ananichinja

Msaada: Nimeota mpenzi wangu ananichinja

Hili tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi. Nahisi kuna jambo unaliwaza sana na sio zuri kuhusu huyo mpenzi wako, hivyo linakuumiza mara kwa mara na una hofu ya usalama wako. Chukua hatua nzuri kama katika tafakari yako unaona kuna ukweli wa haya. Kumbuka ndoto ni jambo la kawaida muhimu ni kuwa makini na yote ufanyayo muda wote.
 
Baada ya kukuchinja kama mnyama ulikata roho? hata hivyo hiyo ni ndoto tu haina uhusiano na maisha halisi,ndo pia usababishwa na SONOna.
 
Pole, mimi nilikuwa naota my expired significant other ananisaliti mara naota ananioneshea mwanamke mwingine hajali. Nikadhani labda nina wivu sana ndo maana naota hivyo. Lakini kumbe ni kweli na alikuja kunioneshea.

Angalia asije akakuambukiza maradhi mabaya yatakayopelekea kifo chako au akawa mshirikina au ndugu anakotokea ukatolewa kafara. Anza kuomba kama unaamini ktk Mungu, acha kushiriki nae ngono
 
Mtafute maalim hassan yahya husein bingwa wa utabiri nchini pale magomeni MANGOTREE TEA!


LIKE Niku ADD
 
Last edited by a moderator:
Inategemea mtu na mtu wengine huwa tukiota ndoto alafu ukakurupuka ghafla huku mapgo yanaenda mbio km umetoka kwenye riadha hapo ujue kunaukwel. Hayo ni yangu.
 
Uliota Umechepuka Bwana Wako Akakufumania Ndo Mapanga Yamefuata Hebu Acha Michepuko Kabisa Otherwise Itakuja Kuwa Kweli
 
hellow wanajamiiforum,

hapa hivi nimeamka tangu saa 10 baada kushtushwa na ndoto mbaya. Nimeota mpenzi wangu amenipeleka sehemu alafu akanichinja (kama mnyama) hii inamaanisha nini? Tafadhali nisaidie. Sina hata amani.
si bure kuna
kitu,zingatia huo muda
 
Kemea liroho la mauti linakunyemelea hilo, pia msimulie huyo mpenzi wako juu ya hiyo ndoto ili kama kuna jambo la hila alikuwa analikusudia basi ashindwee. kiukweli ndoto nyingine zinabashiri yajayo.
 
maana yake unakaribia kufa ,, uwii.. sasa ungerudi kulala ujue mimi huwa nikiota naendeleza ndoto
 
Mpenzi wako anakusaliti na mtu wa karibu yako
 
Ingekuwa ni mimi nimeota hivyo na kwa mida kuanzia saa 7-10 usiku
basi huwa inakuwa kwelije ww ukiota ndoto inakuwa kweli au kinyume?

Ha ha aah!
Ukweli ungeujuaje na wewe umeshachinjwa! Samahani lakini!
 
Hapo inawezekana Mme wako amejiunga na bokoharam au Isis!!
 
Back
Top Bottom