kimicro mnishi
Member
- Oct 22, 2018
- 35
- 10
Nimenunua kiwanja na nmewekeza kwenye biashara nyingine nyingine ipo bank, mpango wa kuhama nyumbani ni mwakani sio sasa hiviLike seriously unafanya kazi 28+ uko kwenu?
Lazima tu uwe na hasira,
Ungekua unakaa kwako ungepishana wapi na mzee mpaka muanze kufokeana!
Unabana matumizi sasa pesa unafanyia nini kama hautaki kujitegemea
Hilo ndo linakupa stress maana Ukikaa kwenu kubali kuwa treated Kama mtoto sasa wewe unataka Uhuru kama upo kwako na hicho ndo kinakupa stress Sana yani kila unaeongea nae unahisi anakudharau kumbe kawaida tu...!! Kuhama kwenu sio mpaka ujenge nyumba yakoo...Hama nenda kapangee mkuuNimenunua kiwanja na nmewekeza kwenye biashara nyingine nyingine ipo bank, mpango wa kuhama nyumbani ni mwakani sio sasa hivi
Hilo ndo linakupa stress maana Ukikaa kwenu kubali kuwa treated Kama mtoto sasa wewe unataka Uhuru kama upo kwako na hicho ndo kinakupa stress Sana yani kila unaeongea nae unahisi anakudharau kumbe kawaida tu...!! Kuhama kwenu sio mpaka ujenge nyumba yakoo...Hama nenda kapangee mkuu
unahitaji mke kijana akuweke busy uwe unamuwaza
kama muda huo anagegedwa au lah
utaacha hasira utapata stress
Asante mkuu japo company nayofanyia kazi ni private hawawezi kunipa likizo muda wote huoKama unasavings kidogo chukua likizo hata ya wiki moja tafuta demu nenda nae popote pale iwe ndani au nje ya nchi kama kipato chako kinaruhusu. Ukiwa huko usifanye kitu chochote kile zaidi ya kula bata tu. Itasaidia kupunguza msongo wa mawazo
Kwani likizo si huwa inatolewa siku 28 kwa mwaka au private wana sheria tofauti? Basi angalia nafasi yakoAsante mkuu japo company nayofanyia kazi ni private hawawezi kunipa likizo muda wote huo
Tangia nipate kazi hapa nina miezi 8 tu mkuu, ngoja niongee na HR maana ninaiva nae vizuri tuKwani likizo si huwa inatolewa siku 28 kwa mwaka au private wana sheria tofauti? Basi angalia nafasi yako
Asante mkuu japo company nayofanyia kazi ni private hawawezi kunipa likizo muda wote huo
Kweli mkuu inawezekana maana hata marafiki zangu wengi sipo karibu nao na mawasiliano yamepungua kutokana na majukumu hivyo muda mwingi nakua kazini au nyumbani sababu situmii pombe. Kujichanganya kwangu na watu nibkibanda umiza tu kushangilia mane salah na firmino wanavyogawa doziHii itakuwa ni stress za kazini, unafanya kazi muda mrefu sana na hupati muda wa kupumzika vizuri, jaribu kuwa unajichanganya na watu tofauti tofauti au kwenda sehemu tofauti na nyumbani unapokuwa na mapumziko, halafu kapime Goitre huenda una "Hyperthyroidism" wakati hujijui kuwa wewe ni mgonjwa.
Kweli mkuu inawezekana maana hata marafiki zangu wengi sipo karibu nao na mawasiliano yamepungua kutokana na majukumu hivyo muda mwingi nakua kazini au nyumbani sababu situmii pombe. Kujichanganya kwangu na watu nibkibanda umiza tu kushangilia mane salah na firmino wanavyogawa dozi
Asante mkuu ndio maana naonba ushauri kwenu maana najua jamiiforums kuna watu mbalimbali wanaoweza kunisaidiaAisee wewe mbona nimshamba sana mshamba sana aliekuambia starehe pombe ukiwa hunywi unakaa ndani na marafiki huna nani? embu acha utindiga mimi naweza kula gambe non stop na wanywa pombe na nisinywe na nikaenjoy hasa na naweza nikaenda sehemu peke yangu nikaenjoy hasa as long as mfuko uko safi.
Wewe nimegundua ni mtindiga na mastress yatakuumiza
Assume ni phase unapitiaNimenunua kiwanja na nmewekeza kwenye biashara nyingine nyingine ipo bank, mpango wa kuhama nyumbani ni mwakani sio sasa hivi